hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Cprah

    JamiiForums Tanzania Hizi zinazoitwa connection ni nini? Je, ni jina sahihi linavyotumika huko?

    Kuna mambo mengi yanaendelea huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hili la connection limepamba moto, kwanza kwanini huu udhalilishaji unaitwa CONNECTION? Inaconnect nini na nn? kwanini inaitwa connection ya flani? binti au kijana au mzee mwenye jina lake flan bin fulani Kwanini jamani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Tofauti hizi katika Huduma zitolewazo katika Hospitali zetu?

    Habari ,Hivi wana Jf hizi tofauti zina Maana gani katika sekta ya Afya ? hizi tofauti kimtazamo ni kama ndogo lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa :- 1.Unakwenda hospitali A unambiwa kwenye figo kuna Maji unakwenda hospitali B siku hiyo hiyo unambiwa hauna shida yoyote au unaenda...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Marais wa Siku hizi wa Afrika Kujisifia kuwa Saa 8 za Usiku nao hukesha kama Popo ni vyema au ni Uthibitisho wa Kufeli Kwao Kiuongozi?

    Madaktari Bingwa wengi wa Akili wanasisitiza na Kutusisitiza mno Wanadamu ( Watu ) kuwa pamoja na kwamba tupo busy na Maisha ila Usiku kuanzia Saa 4 hadi Saa 11 ni lazima tuwe tumelala vya Kutosha Kwa Afya ya Miili yetu na Akili pia. Wataalam hao wakaenda mbele pia na kusema kuwa Mwanadamu...
  4. system hacker

    JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  5. system hacker

    JamiiForums Tanzania From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

    Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake. Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi. We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

    1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania...
  7. NI MTAZAMO TU

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wako wapi siku hizi?

  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siku hizi tumechoka kusafiri tena 'Majuu' au wenyeji wetu wapo 'busy' na wanaona tunawaharibia tu Ratiba zao Muhimu?

    GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unatembea kilomita ngapi kwenda shuleni? Nilikuwa natembea hizi

    Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km. Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
  12. Saidama

    JamiiForums Tanzania Je, mila hizi zina maana gani?

    Kuna vitu mpaka kufkia utu uzima wangu huu nimeshaviona ila sijawai kujua maana yake. Bila kupoteza muda; Cha kwanza ni hii ya wauza maduka kutokuuza sindano majira ya usiku. Hii niliithibitisha mimi kwenyewe siku moja. Nilitoka usiku kwenda dukani kununua sindano, nikaenda duka la kwanza(kwa...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Shuhuda hizi ni za mchongo?

    Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k. Kwamba hamjawahi kuchakata za dada zetu wenye sura ngumu? Hamjawahi kuchakata mbususu za wakina dada wenye english...
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

    Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi. Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo? Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi. Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Diploma za siku hizi za ajabu sana

    Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje? Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

    Mkuu SHOMBE la Kisomali, uwanja wako wa nyumbani huu sasa.ushindwe mwenyewe kujidai
  17. AKAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta hizi kofia

    Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

  20. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
Back
Top Bottom