hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  2. JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi bei zinatutesa sana

    Hivi ghala za taifa kwa sasa zina chakula cha kutosha siku ngapi?🧐
  5. JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwa tabia hizi, Ewe Kondakta wa daladala badilika

    Habari za wakati huu wana jamii forum. Ni siku nyingine tena ya kuelimishana ili kila mmoja wetu aweze kuwajibika kwa nafasi aliyokuwa nayo katika jamii. Leo ningependa kuongea na baadhi ya kondakta wa daladala ambao kiukweli wanapaswa kujirekebisha kwenye baadhi ya maeneo. Kila kazi ina...
  8. JamiiForums Tanzania January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

    Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu. Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao. Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumeshamaliza Sensa ya 'Mibichwa' yetu, na sasa Sensa hizi zinafuata ili Watanzania tuanze kuwekewa Tozo mpaka ya huu Upumuaji Wetu

    Ya Watu ( Mibichwa ) yetu inamalizika rasmi ( Kikanuni ) leo na leo hii hii tena inaanza ya Nyumba zetu ( zenu ) na baada ya hapo jiandaeni kwa Sensa za haya yafuatayo..... 1. Sensa ya Walio na Akili na Wasionazo 2. Sensa ya Wanaotumia Condoms na Sisi Wazee wa Kugongesha Besela ( Tulioapa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi asilimia za kaya zilizokwisha hesabiwa wanazipata wapi?

    Kama hoja ilivyo, naomba wajuvi wa jambo hili la sensa wanieleweshe. Nimeona taarifa zikiandikwa kutoka kwa mamlaka za sensa kuwa hadi sasa kaya zilizohesabiwa ni asimia 93. Ili kupata asilimia lazima uwe na idadi halisi ya jumla ya kaya ambayo ni kamili ndipo ulinganishe na zilizokwisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zijue Siri hizi kwa afya na uhai wako

    Hautojutia rafiki Kwa kuzijua Siri hizi Kwa afya Bora. Kwanini tuangamie Kwa kukosa maarifa? Ngoja nikushirikishe tone la upendo rafiki yangu unayesoma Uzi huu. Afya ni uhai, Kuna afya ya Mwili, ya Akili na afya ya Roho. Wengi wetu tunaijua Sana afya ya mwili ambayo tunaipata Kwa kula chakula...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

    Salam wana jamii, Wakuu naomba mwenye ujuzi wa mambo ya mipaka ya nchi mbalimbali aje anipe muongozo wa vigezo vilivyotumika kuzipendelea baadhi ya nchi kwa kuzipa ardhi kubwa, na kuzikomoa zingine kwa kuzipa ardhi ndogo. Ukiangalia namna nchi ya China ilivyopendelewa huku majirani zake...
  14. JamiiForums Tanzania Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

    '....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.' Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi. Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo mamboo.. shida hizi!

    Huwa ni makusudi kabisa. Uchokozi
  16. JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

    Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…