hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  2. JamiiForums Tanzania Nimechoka na hizi 'bla bla' kutoka kwa Wanafiki, Waongo na Wasiofanya hivyo

    "Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe. Chanzo: EastAfricaTelevision Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
  3. JamiiForums Tanzania Wajuzi naomba utofauti wa hizi tv wanaita smart 4K na hizi smart za kawaida

    Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
  4. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshachoshwa na 'Press' zenu za 'Kutuzuga'

    Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari). Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri hizi treni za SGR ndo zenyewe au tumepigwa tena?

    *Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

    Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa. Nakiri kuwa humu JF kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

    Hello bosses.... Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced. Kiufupi hizo ni:- 1) BLOOMBERG TERMINAL 2)MICROSOFT EXCEL...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lini mapendekezo ya Ripoti hizi yatafanyiwa kazi?

    Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni. Na huyu kaja na "si amri" - danadana zinaendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Nihudhurie usaili upi kati ya hizi mbili?

    Wakuu kwema? Tarehe 27 mwezi huu nimeitwa interview mbili kama ifuatavyo; Saa 2 kamili asubuhi natakiwa kuwa Iringa University mkoani Iringa kufanya usaili wa kuandika ya nafasi ya Uhasibu, muajiri akiwa Iringa University mwenyewe. Nafasi zinazogombaniwa hapa ni 2 kati ya watahiniwa 24...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

    Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
  14. JamiiForums Tanzania Mwinyi Zaheera; Shaban Djuma Kiwango Kimeshuka na Amekua Bonge Sana Siku Hizi

    🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.” - Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaandika kwenye simu za nokia ya tochi vitufe vinalia utafikiri panya anatafuna mahindi stoo!

    Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine. Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…