hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    Wakuu! Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi. Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki. Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

    Habari Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa Ila kwa kuanzia hizi hapa 1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira ) 2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi) 3. Chumvi ya mawe Kubwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba?

    kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
  6. M

    JamiiForums Tanzania vip kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba

    kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Habari wakuu? Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu, By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia, ama siziwezi zote? Thanks 🙏
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

    Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K, Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
  10. JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi George Mkuchika ndio Kingunge Ngombare Mwiru wa zama hizi?

    Wakuu... Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi. Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na kila Rais anayekuja madarakani hali ya kuwa vijana wapo na wanaweza kuchapa kazi vizuri tu. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

    1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua 2. Kutofanya mazungumzo na club. 3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia) 4. Kuna vipengere...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

    Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
  20. JamiiForums Tanzania Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

    Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January. Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…