hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nyakati hizi za sasa, ukiomba kunyandua, unaweza kunyimwa kweli?

    Iwe kwa alie kwenye ndoa, uchumba au mahusiano ya kimapenzi? na, kwanini hakuna anae kataa? Achana na wanaojiuza mitaani kwenye madanguru n.k, nazungumzia ambao hawako kwenye biashara hiyo ya ngono. Ni nini kimebadilika na kuchochea urahisi huo kuelekea kunyanduana? Yaani siku hiyo hiyo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Taarifa Hizi Wakati wa kuomba leseni ya biashara

    Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi. 1. TIN Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi 2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako. 3. Certificate of...
  3. JamiiForums Tanzania Kwahiyo wakristo wanaruhusu ndoa hizi kufungwa kanisani?

    Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na nusu. Miezi kadhaa iliyopita Sam Kerr alizua gumzo baada ya Kufunga ndoa ya Kanisani na Mchezaji...
  4. JamiiForums Tanzania Come on guys! Ni 2026, acheni hizi tabia za kiduanzi

    Acha tabia ya kutembelea ndugu mara kwa mara utafikiri mechi za kila wikiendi, uchumi umebadirika, sasa hivi watu wanaenda na bajeti. Una mwaga mwaga ovyo kila kona, mwishowe ni kuongeza watoto wanaokuja kutaabika kimahitaji na saikolojia hapa duniani, masingo maza na kutopata care maalumu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ni Sheria za ndoa za Watibeli zinazotufanya tuishi Duniani kama tupo peponi. Mkitaka mnaweza kuzikopa zitakazowafaa

    HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Nimeona serikali ikitaka wadau na wananchi kutoa maoni ya Sheria za ndoa. Nikasema, Mimi kama Mtibeli nitoe muhtasari wa Sheria za...
  6. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi yamekuwa “Trial Version”?

    Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano? Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kula hizi chipsi, tupeni uzoefu

    Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips. Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu? Msamvu je?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Abdul yuko wapi siku hizi?

    Ni muda mrefu huyu kijana hajaonekana au kusikika, nini kimempata? Au ameshamaliza kazi yake?
  9. JamiiForums Tanzania Hizi Drama zilizofanyika Ukonga Prison zitasaidia rais Samia kupunguza kuchukiwa na wananchi?

    Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto. Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga picha na wafungwa wakiwa wamekaribiana. Lakini kidonda cha Oktoba 29 hakiwezi kumalizwa kwa drama...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu. Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma. Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge letu Liweke Wakalimani wa Lugha kuepusha hizi aibu za kushangilia kama Majuha kwa kutokuelewa

    Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana. Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English kiasi kushangilia kama mazuzu na yasemwayo yanatuaibisha WaTZ wote. Kama ni lazima kuwaingiza bungeni...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada siku hizi wameacha kuva adirizi

    Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight. Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
  13. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo shuleni nilifundishwa kuwa.. kumbe siku hizi ni vitu tofauti!?

    PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE DICK ilikuwa ni NAME/JINA BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA SCREW ilikuwa TOOL/ZANA HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI BALLS...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya hizi tafiti(kazi) 2 utachagua ipi?

    1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa muda wowote ule ila hutoki nje hata kunyosha miguu kazi yako ni kila siku kupiga nyeto bao zaidi ya 2...
  15. JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  16. JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie

    Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie 1. The Wolf of Wall Street “Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka” 2. Glengarry Glen Ross “Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha” “Hakuna Huruma Kwenye Sales” 3. Boiler Room “Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)” 4...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye kuzifahamu hizi saa namba ushauri

    Casio ABL-100WE
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za Jenerali Ulimwengu kuzinguana na Mkapa hadi kunyang'anywa uraia

    Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na baadaye walipokutana kwenye siasa. Hata hivyo, ilifika mahali wawili hao wakatofautiana na hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…