hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hizi account hapa JF zipo ikulu na ofisi ya raisi pamoja na CCM

    Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi. Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
  2. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  4. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tafuteni Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya CHANGAMOTO ZA UZEE kama usingizi,kusahau,maumivu viungo n.k

    Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa Tanzania mimea hii hupatikana Kilimanajro na ukanda wa pwani. 1. Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa...
  6. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo. Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Man united: Red flags hizi za INEOS zifanya nisiwe na imani nao

    Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
  9. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kama una sifa hizi huwezi ichukia CCM, huwezi sema au taka itoke madarakani. Utakuwa na kichaa wewe

    CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu 1. Mafisaidi 2. Wezi 3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu. 4. Al munafiqina 5. Wachawi/Machawa Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Could This Report Be True That There is a New Scramble for Tanzania BTW Europe vs Russia?

    Wanabodi Watch this https://youtu.be/mjaFkFP3swk?si=HQWWh1DplyU1uuzG Could this be true?. Paskali
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  13. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  15. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Nawalilia enyi mamlaka muingilie kati hizi shughuli za kutunzana uswahilini zimejaa mashoga wengi na wanakuwa paraded makusudi na wadada waliomo mule

    Yani unakuta kijana wa kiume kweli anawashinda wadada waalikwa kutingisha makebo😬
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  17. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  20. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
Back
Top Bottom