hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo! Mungu wape wepesi ndugu zetu! Tutaendelea kupata taarifa kamili...
  2. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la dollar limekuaje?

    Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi ni mashetani

    Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujikinga na "connection", fuata na njia hizi

    Kwanza ikimbie zinaa kama hujaoa acha, kama umeoa tulia naye na kama huna jifunze useja. Twende kazi: a) Chukua simu zote ziweke kwenye begi 😃! b) Kama upo lodge muombe muhudumu akupe fagio hakikisha chumba kisafi, yaani hakikisha hamna takataka inayoweza kuhisiwa kurekodi humo 😃! c)...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

    1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope. 3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
  9. JamiiForums Tanzania Tuonyeshe tofauti katika picha hizi

    Umegundua nini hapa?
  10. JamiiForums Tanzania Msiogope hizi Tahasusi za form 5 na 6, katika Uislamu, hakuna mgawanyo wa 'Elimu Dunia' na 'Elimu Akhera'

    Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi) -Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera -Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu Katika uislamu elimu maana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Tofauti hizi za gharama za uwanja wa Mkapa na Samia, kuna haja ya Maslahi ya Watumishi kuangaliwa upya

    Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo mengi yamebadilika na gharama za maisha zimepanda pia hivyo kuna haja ya watumishi kuangaliwa maslahi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination. Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya biashara ya urembo wa magari sasa nipo natazamia hizi zifuatazo.

    Wakuu Habari za siku ? Natumai wengi ni wazima wa afya na wenye kuumwa mpate kupona na kuendelea na mapambano. Baada ya kuingia kwenye biashara ya urembo wa magari, kiukweli nimejifunza vitu vingi. Ikiwemo changamoto zake na jinsi biashara nzima inavyoendeshwa. Biashara hii imenifungulia...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
  16. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

    Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…