Kwanza ikimbie zinaa kama hujaoa acha, kama umeoa tulia naye na kama huna jifunze useja.
Twende kazi:
a) Chukua simu zote ziweke kwenye begi 😃!
b) Kama upo lodge muombe muhudumu akupe fagio hakikisha chumba kisafi, yaani hakikisha hamna takataka inayoweza kuhisiwa kurekodi humo 😃!
c)...
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini.
2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope.
3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi)
-Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera
-Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu
Katika uislamu elimu maana...
Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa
Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo mengi yamebadilika na gharama za maisha zimepanda pia hivyo kuna haja ya watumishi kuangaliwa maslahi...
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination.
Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
Wakuu Habari za siku ?
Natumai wengi ni wazima wa afya na wenye kuumwa mpate kupona na kuendelea na mapambano.
Baada ya kuingia kwenye biashara ya urembo wa magari, kiukweli nimejifunza vitu vingi. Ikiwemo changamoto zake na jinsi biashara nzima inavyoendeshwa.
Biashara hii imenifungulia...
Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu.
Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi.
Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza.
Shule ni nzuri kwa miundombinu yote.
Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana
Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako
Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k.
Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
1: Jason Bourne vs Mission Impossible
2: Into The Blue vs Fool's Gold
3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War.
4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror
5: White House Down vs Olympic Has Fallen
Uongozi sio tunu wala sio nguo kwa hisani utapatiwa ila ni nidhamu pamoja ushawishi wa kimamlaka ambapo unatakiwa kuvionesha hata kabla haujafika katika ngazi ya uongozi,leo nitaorodhesha sifa tano ambazo kiongozi unatakiwa kuwa nazo hata kabla hujaomba ridhaa ya kuwa mgombea.
1. Nguvu ya...
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa.
Sasa kuna rafiki...
Wasanii wengi wasio na fruiful content wanakesha Coco beach kula mihogo. Akaunti zao utazitambua kwa picha na clips za kusifia hata pasipohitaji kusifia.
Naamini mmiliki wa Chimbo la mihogo hana uwezo wa kiuchumi kuwalipa wasanii hawa kwa wingi wao. Ni aidha wanatumia jina lake kujibrand au...
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
😂😂
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.