hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lugha ya picha: Ndoa za siku hizi

    Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia. Chanzo ni nini?
  2. JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

    Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024) 1. Egypt 🇪🇬 ($370.5 billion) 2. South Africa 🇿🇦 ($278.1 billion) 3. Algeria 🇩🇿 ($123.3 billion) 5. Morocco 🇲🇦 ($107.7 billion) 6. Sudan 🇸🇩 ($94.9 billion) 7. Kenya 🇰🇪 ($84.2 billion) 8. Nigeria 🇳🇬 ($73.9 billion) 9. Angola 🇦🇴 ($64.7...
  4. JamiiForums Tanzania Wahi Leo!Ofisi Yetu Tunauza Asset Hizi Kwa Bei Ya Kutupa

    Habari zenu. tunapunguza asset ofisini kama zifuatazo: Asset hizo na bei zake kama ifuatavyo: 1.Pressure washer tzs 150,000 (laki moja na hamsini elfu) 2.Tube filler -mashine ya kujazia vifungashio vyenye mdomo mdogo tzs 600,000 (Laki sita) 3.Computer Apple All in One (Huhitaji CPU) tzs...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama una sifa hizi huwezi tegemewa, hairisha hata kuwa na familia

    KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔 1.Kila changamoto inakuliza na kukuumiza. 2.Mtu wa kulalamika tu. 3.Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu. 4 .Hutaki kuwajibika kwa makosa yako. 5.Mtu wa kususa hovyo. 6.Unajitetea sana 7.Bado una utoto wa kutaka kila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

    KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔 1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza. 2. Mtu wa kulalamika tu. 3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu. 4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako. 5. Mtu wa kususa hovyo. 6. Unajitetea sana 7. Bado una utoto wa...
  8. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni njia za kuondoa machawa

    Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;- Kuondoa wakuu wa wilaya Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa Rais kutokuchagua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

    Salaam, shalom!! 1. Tulipokuwa tukisubiri kupokea Mikataba mliyoiita HGA ya mkataba wa Bandari mlisema mikataba hiyo itakuwa wazi italetwa na kujadiliwa bungeni, hatujakaa sawa, tukasikia mikataba imeshasainiwa huko Dodoma kimya kimya na siku hiyo hiyo akateuliwa Katibu Mwenezi wa chama...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    WHATSAPP BOT Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot. BOT FEATURES 🤖 Auto View Status 👉Hii utaview status ata ukiwa offline tena just now😁 🤖Always Online 👉hii muda wote utaonekana active online ata Kam...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

    Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani. Vichakani, kula kwa machale uwe...
  12. JamiiForums Tanzania Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  14. JamiiForums Tanzania Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

    Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote. Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo! Mungu wape wepesi ndugu zetu! Tutaendelea kupata taarifa kamili...
  16. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la dollar limekuaje?

    Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi ni mashetani

    Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…