hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa kama hizi potofu lengo lake linakua nini? Tuwe na imani na jeshi

    MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini. Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo, Kwa miaka zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kukataa hizi laana kwa nguvu zako zote.

    Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza. Pili, imani kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

    Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  6. JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  7. JamiiForums Tanzania Nimefatilia hizi ndizo kozi za afya unazoweza kuajiriwa kwa urahisi

    ●Biometrical Engineering Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo ●clinical ●Nursing ●health laboratory ●physiotherapy ●Dental therapy and surgeon ●Environmental health ●Radiology ●Nutrition ●occupational therapy ● Technologist pharmacy
  8. JamiiForums Tanzania Hizi busara za Omar Mahita na Pascal Mayalla zimeanza lini?

    Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema. Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu ameoa kwao. Na keleza namna vyombo vingine vya usalama vinakamata watu na kuwaweka kwenye sero za...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siku Hizi Wanaingia kwa Merit au Kufahamiana?

    Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa sababu ya kufahamiana na watu wenye nguvu. Hoja hii imeibua mijadala mikubwa hasa pale wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea siku hizi?

    Hija katika Uislamu Hija ni nguzo ya tano ya Uislamu. Ni ibada takatifu inayomuwajibisha kila Muislamu mwenye uwezo wa kiafya na kifedha kusafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kutekeleza taratibu maalum ndani ya Mwezi wa Dhul-Hijjah, angalau mara moja katika maisha yake. 🕋 Misingi na Utekelezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama ana uchungu na Watanganyika kwanini hamchukulii hatua Afande Mafwele pamoja na tuhuma zote hizi?

    Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar. Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu. Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
  15. JamiiForums Tanzania Hipi ni laptop bora Kati ya hizi

    Mambo vp wadau, Nilikuwa natafuta laptop kwa ajili ya kazi ngumu. Kati ya hizi laptop mbili hipi ni bora zaidi. (a) Lenovo think pad X1 Carbon, yenye 32 GB, generation ya 11. (b) Hp z book, yenye 32 GB, generation ya 11. Regardless all the conditions are the same, like pricing etc Thanks...
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

    Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na wengine ambao kwao muda huu ndio kama kumekucha Lakini kama wewe haupo kwenye kundi hilo halafu mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania WATANZANIA kwa hizi Tume mbili haifai tuamini hakutoa amry yamauaji ILA aliujumiwa na hasio wajua?

    Mpaka Leo Samia suluhu hajui aliyetoa amri ya mauaji ni nani, JE watanzania hatuamini yakuwa mama yetu kipenzi hakuusika katika ushenzini huu? Nakutabilia ushindi mama Samia jipange icc court
  18. JamiiForums Tanzania Hizi SGR watu wanavukaje?

  19. JamiiForums Tanzania Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  20. JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…