hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. themachinetz

    JamiiForums Tanzania Naomba Kazi,uundaji wa mitambo na mashine hizi

    Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL) Ujuzi: VETA na SIDO. Makazi: Dar Naweza fanya Kazi: Popote Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha: *Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators) *Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki *Uundaji wa mashine za kugandisha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hali ilivyo mjini kuelekea mkutano wa Nishati Dar

    Ukienda mjini leo, unaweza kuhisi ni sikukuu au mwisho wa juma (weekend), baada ya barabara kufungwa kutokana na ugeni wa marais na viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa wa Nishati unaoanza leo, Januari 27, 2025 jijini Dar es Salaam. Ilivyozoeleka siku ya Jumatatu katikati ya...
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Hizi kalamu kwenye boxer huwa za nini?

    Sijawahi kueleww lengo la kuweka kalamu kwenye boxer! Lengo ni nini hasa?
  4. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Wanaume nimewaita mara tatu sitawaambia tena hizi codes

    Wanaume wapendwa, Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua gauni, hakikisha umejinunulia suti nzuri. Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua vipodozi, hakikisha umejinunulia manukato ya gharama unayoyapenda. Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za vifurushi vya intaneti, hakikisha umelipia...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

    Eddy Brian Jimmy Chris Junior
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hizi Dini bwana

    Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  9. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆

    Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele Tunguli KWA ajili ya kunywea maji Chungu...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  12. N

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  13. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Msaada anae weza tambua hizi code

    Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na idea hizi code zimeenda 15711 kwa ajili ya nini.? Nimelazimika ku crop screenshot sije nikawa nna...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Press hizi mbili za Wenyeviti wa Chadema kundi lipi ni la kweli?

    ..Press conference ya kwanza hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28 ..Press conference ya pili hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

    Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja. Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hizi agenda zote Mbowe alikuwa wapi kuzitekeleza?

    Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  19. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

    Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi; Salah Vs Thierry Henry unamchagua yupi?

    Haya takwimu hizo hapo, nani ni bora zaidi?
Back
Top Bottom