hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
  3. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  4. T

    JamiiForums Tanzania NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

    Salaam kwa wanajamvi wote! Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii. 1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo 2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili. 3) Kukufanyia...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wahenga hizi kandambili mlikuwa mmezipa jina lipi?

    Wale wahenga! Hizi kandambili mlizipatia jina gani? Ebu leta experience yako!
  6. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi.

    01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika? 02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa. 03.Mwanamke ambae...
  8. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  9. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Ni PC gani nzuri kati ya hizi mbili? HP spectre 2 in 1 au Lenovo Yoga 2 in 1

    Ni PC gani nzuri zaidi kati ya hizi mbili?
  10. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nazitafuta sana hizi perfume. Wapi nitazipata kwa DSM?

    Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi. 1. Al Rehab Avenue 2. Al Rehab Silver 3. Rasasi La Yuqawam
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

    01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja. 02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya gereji za magari siku hizi

    Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi shuleni hawatoi ratiba za masomo?

    Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja. Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa...
  15. Ntu Mpyaaa

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia za mtu aliekidhi vizezo vya kuitwa mbumbumbu:

    Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi; ""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba, Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mnazingua,siku hizi weekend hakuna mechi why?

    Dunia nzima weekend ni muda wa burudani,wiki ya nne hii nafuatilia hakuna mechi weekend why?
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama mmeshindwa kupambana wafuasi wenu warudishwe au wasitekwe kabisa hizi ngonjera za kuizia uchaguzi achaneni nazo CHADEMA

    Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo. Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini mnakuja na blah blah za kuzuia uchaguzi ujue huu ni ujinga mkubwa. Hivi siku huyo Soka kwa mfano kama...
  19. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia

    Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu. == Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom