hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents 6 unazohitaji wakati wa kuandaa Financial statement.

    Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka. Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi, utahitaji kua na hizi documents 6; 1. EFD sales Hii utatumia ku track rekodi ya mauzo yote uliyofanya kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    Mama amekasirika sana Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  7. JamiiForums Tanzania Tujiburudishe kidogo na hizi kazi za ubunifu

    Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na hizi kazi kabla hatujarejea kule kwenye stress.. Hapa kuna baadhi yetu wanaweza kufaidika na hizi kazi
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa

    Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja kuwa na pesa za kutosha kabla ya kuanza, na hii inaweza kupelekea kuchelewesha mipango yao ya...
  9. JamiiForums Tanzania Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  10. JamiiForums Tanzania Pengine ulimwengu wetu umeundwa kwa kanuni hizi 1, 0, -, +

    Kumekuwa na kanuni nyingi zinazoelezea ulimwengu wetu jinsi ulivyo umbwa ikiwemo kanuni hii maarufu ya wanasayansi wakubwa "0123" huku "0" ya kanuni hii ikieleza au ikiwakilisha "utupu" yani ulimwengu ulianza ukiwa amna kitu alafu baadae ikaja "1" yani vitu vikaanza kuwepo baadae ikaja "2" nyota...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi watu Wanaonunua hizi sarafu za zamani huwa wanaenda kuzifanyia nini?

    Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
  12. JamiiForums Tanzania Siku hizi ni mwendo wa kuinamisha shingo, stori zimepungua hata ugenini

  13. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kiwango cha mutale kwenye hizi mechi 3 zilizofuatana ndivyo no 10 tulitamani awe hivi

    Kwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai na mpira mguuni lakini kubwa kuliko yote ni kurahisisha kazi kwa ajili ya straika Binafsi si...
  15. JamiiForums Tanzania Aisee yani siku hizi kuivuka 65 ni kama special favour flani hivi.

    Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65. MORE LIFE.
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona una dalili hizi ujue wewe ni fukara na masikini

    DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea kujifanya masikini. Vivyo hivyo katika umasikini pia huwa kuna dalili za wazi kwamba mambo hayapo vizuri...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete pokea maua yako kwa hizi shule za kata. Kuna Wana-CCM baadhi watapinga

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza hizi mashine

    Nauza hizi mashine moja ni kwa ajili ya upepo na nyingine, kwa mwenye kuhitaji hizi anaweza fika kimara stop over kuja kujionea Bei 4.5 kwa mashine la upepo na mazungumzo yapo 0715378899
  19. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…