Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya.
Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...