China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha.
Tukiwa na bandari ya...
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi.
Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili.
Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo.
Wengi...
(Toka mtandaoni)
[emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840]
[emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286]
Siri ya kwanza;
[emoji1428]Tengeneza...
Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems.
Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL.
Huyu Pablo Franco hajawekewa...
Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu.
Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri
Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake
Lengo Hasa...
Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje?
Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli.
Wazulu jamani mtakuja kuniua.
Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi?
Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia yao kwa kweli.
1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.