hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

    Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma? Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
  2. JamiiForums Tanzania Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

    Habari! Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika. Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti. Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3. Imefika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu??? Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

    China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha. Tukiwa na bandari ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ujerumani kuwa na Serikali mseto, vyama vyote yakubaliana Scholz kuwa Kansela, Tanzania bado hizi ni hadithi miaka 60 yaenda ya uhuru

    Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
  6. JamiiForums Tanzania Tuangalie hizi video mbili fupi tujifunze juu ya busara ya kuiongoza Tanzania yetu

    Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi. Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo...
  7. JamiiForums Tanzania Ole Gunnar Solskjær afukuzwa, Manchester United watoa tamko rasmi

    Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tusipochagua genius position hizi hili taifa siku moja litakuwa taifa la manamba

    Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili. Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo. Wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika tuige siasa kama hizi

  10. JamiiForums Tanzania Zifahamu siri za maisha

    (Toka mtandaoni) [emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840] [emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286] Siri ya kwanza; [emoji1428]Tengeneza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
  12. JamiiForums Tanzania Mliotumia gadgets hizi fanyeni maandalizi ya kustaafu

  13. B

    JamiiForums Tanzania Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Hawa Pepsi wajitafakari na soda zao za BIG aaisee hazina radha au mimi tu jamani au wanatumia maji ya wapi? AU wanachanganya na maji ya Dodoma
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ni Sababu 5 za Kwanini Simba SC Hawajamuwekea Kipengele Cha Malengo Coach Pablo Franco

    Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems. Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL. Huyu Pablo Franco hajawekewa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
  17. JamiiForums Tanzania Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

    Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje? Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli. Wazulu jamani mtakuja kuniua.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

    Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi? Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia yao kwa kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…