hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wanawake Wanaolea Watoto, Nimejaribu na Kugundua Ukubwa wa Kazi Hii

    Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto. Wakati huo, dada wa kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Hii tuiiteje?

    Yani ni hivi,unaona kabisa mwenzio anafanya kitu kinampa madhara au majuto.Anafanya tendo ambalo mwisho wake sio mzuri.maamuzi yake yanamponza.Wewe unashuhudia kabisa alichofnaya sio busara na anakoelekea sio pazuri,lakini Cha kishangaza na wewe nawe unakuja kufanya kilekile...
  3. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Panda mimea hii ili kufukuza nyoka kwenye mazingira ya nyumbani kwako.

    Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma. Hapa kuna orodha ya mimea na maua ambayo nyoka hawayapendi: Mkitza / Kitunguu Saumu (Garlic) na Kitunguu Maji: Mimea hii hutoa...
  7. 3

    JamiiForums Tanzania Hii ni super subs ya kibabe kabisa

    Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

    Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu. Kituko kingine...
  11. JamiiForums Tanzania Ukitazama video hii, utajifunza mimea tiba kulinda viungo vyako

  12. JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wananichanganya kuhusu madai yangu, naambiwa nisubiri miezi 18

    Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
  14. JamiiForums Tanzania Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

    Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall. Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
  15. JamiiForums Tanzania Hii ishawai kukukuta?

  16. 1

    JamiiForums Tanzania “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics?

    Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ? 🙌
  19. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari kuwahoji watu kwa video call huku wakiendesha gari hii imekaaje

    salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni hii siri

    Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia Wanawake wakali huwa wajifichi fichi, Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…