King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio
Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?
Be careful out there
Kuna wakati tunakatishwa tamaa na ninyi viongozi. Sisi tunajitahidi sana kumpambania mama. Tunaanzisha threads na IDs mpya kila mara ingawa tupo wachache tuonekane wengi.
Tsh 7,000 kwa siku haitoshi. Ukiacha wale wachache ambao wameajiriwa na viongozi binafsi kuwapambania wao wanapata mpaka...
Chukua hii kwa faida
Akikujia mgonjwa wa kisukari akikwambia katumia dawa zote hajaona matokeo
Mwambie akapime
Cholesterol na uric acid
Kisha shughulika na hayo
Huku mpe mlo sahihi wa kula kulingana na shida yake
Kuna uhusiano mzuri tu wa kugoma kushuka sukari na Cholesterol na uric acid
Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani
Hii haiwezekani.
Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha .
Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔
Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi.
Mikoa yenye watu walio...
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.
Dogo ana amani zaidi kwenye...
Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kijana kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na...
Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣.
In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje?
Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi.
Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
Biblia inasema " watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Hosea 4 : 6
Nani anawaangamiza?
Ni adui/ shetani/ mapepo.
Biblia inasemaje kuhusu mali? Kwenye Mithali za Suleiman, Suleiman anasema hekima inaonyesha matokeo, yaani ukiwa na hekima/ akili utapata vitu kwa hiyo hekima.
Kwahiyo...
Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe.
Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa.
Starting price ni 21 million, maongezi pia...
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
Siamini macho yangu, nilivyowazoea wachanga, realy saa hizi?
Nimeingia supermarket ya rafiki nikanunua bidhaa zangu baada ya hapo, nikasema ngojea unywe hata bia moja kuna kiduka cha nguo za mtumba upande uo up, heeeee sijafikia kwenye hiyo bar,
Walah vichaa wamekataa na kuna lako hasa wakike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.