hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dini number moja kwa masharti magumu zadi duniani

    Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli. Wajaini wana fuata...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu yeyote Barani Africa inayotamani kukutana na hii Simba ya Steve Barker

    Nimeutazama huu moto wa timu ya Simba sc ulionao sasa, nikiri wazi kuwa hakuna timu barani afrika inayotamani kukutana na hii Simba sc. Mpaka sasa tumeshafuzu makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Na ndoto na Shauku yetu kuutwaa huu ubingwa na kuweka historia kuwa timu ya kwanza Afrika...
  4. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Hii siyo ramli Ila soon Watanzania Mtapata mnacho kiomba

    Kwenye ndoto nimeona nderemo na vifijo vingi sana mtaani kama kuna sherehe
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kama unaendana na hizi sifa wahi hii nafasi kabla wenzako hawajaichukua

    Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu. Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa. 1. Dereva boda boda mashughuri...
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni overthinking au hallucination? nimekaa hapa nimetulia

    Nimekaa muda huu nikaanza kujiona kama vile kuna demu aliyekuwa anauza bar fulani ambaye nimeshakula mzigo mara kadhaa kipindi cha nyuma akiwa kwenye hizo kazi za u bar maid, ana mzigo hatari.. sio mkubwa kivile ila uko well shaped. Sasa imepita miaka kama minne hivi ndiyo nikakutana nae leo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani katika kuandika/kuamua kesi hii na single Justic of Appeal

    Naiweka hapa nitarudi baada ya maoni ya wadau
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tanga, Bandari imefunguka. Ila kwa haya maroli, TANROAD fanyeni kuiandaa hii barabara Segera - TA.

    Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu. Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanawaona Waarabu ni washika dini kumbe nao ni Washirikina vilevile, hii dunia ina mambo.

    Kuna taarifa zinaendelea kufichuliwa baadhi ya Mashagala (house managers) kutoka Kenya wanaokwenfa kufanya kazi za ndani wanakutana na ajabu. Imethibitika si nyumba moja tu hawa Waarabu wanafuga hii mijusi iguana na mfanyakazi wa ndani ndio anapaswa kumuogesha na kumuhudumia. Sasa maswali ya...
  10. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia hii ukianza kujifurahisha, na kuacha kuwafurahishwa wengine unaonekana kama umerukwa na akili, mwaka 2010 niliitwa kichaa 😅

    Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Imagine kiongozi wa Chama kilichopokea ruzuku bil. 2.7 anatamka matamshi haya, Hii ni hasara kwa Taifa. CHADEMA acheni kucheza na Taifa letu.

    Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU. Kisa familia zenu zipo kwa mabeberu kwahyo hamna cha kupoteza ndo mnafanya KAZI ya kuhubiri ujinga CHADEMA KOMENI HII...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

    Tukio la kusikitisha na kushangaza limeripotiwa nchini Ecuador, ambapo Padre Patricio Sánchez anadaiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na msalaba mkubwa wa mbao uliokuwa nyuma yake wakati akiendelea kuongoza misa katika kanisa moja jijini Guayaquil. Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, tukio...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanawake nawasanua hii

    Hapo VIP! Hii nitabia ya wanaume masikini, na wenye sura mbaya(weusi) kwenye mahusiano. 1.wanajali sana kwasababu hawana cha kumpa mwanamke zaidi ya caring,asipofanya hivyo ni raisi kuachwa SAA 12 asubuhi..hapa hakupendi usijidanganye,hapa anafidia pengo la umasikini Na sura mbaya. 2.Atakutumia...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii combination ya wanangu wa chuga ni balaa tupu yani kuchanja mirungi na kukazia na konyagi/k-vant + Bangi

    Kuna wanangu wako chuga aise wamenicheki wananiambia mkali hapa tuna vibe balaa la kufa mtu Tunachanja mirungi tunakazia na konyagi shada kwa wingi. sasa najiuliza hio combination si bomu kabisa la kusambaratisha akili?
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

    Aisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema copy and paste hii badala ya kuorodhesha kero tu.

    Nimewapenda sana hawa jamaa hata sijui kama wanadanganya au la. Vyama vyetu vya siasa hapa tz ni kama vyama vinavyoikumbusha CCM na serikali kitu gani wamesahau kufanya wakifanye. Hebu sikiliza njia mbadala za kutatua shida za wakenya. https://youtu.be/xbdGgaVIK3k?si=4OqsHd7X7yeJjdce
  18. D

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hatutambui Ubunge wa wale wabunge 19 lakini Ruzuku hatuachi. Hii ni kauli ya Lissu, tunaposema chadema ni makanjanja muwe mnaelewa.

    Pia Lissu aliongeza kwa kusema hatambui ubunge wa Aidan khenan lakini Ruzuku tutachukua hii nini hii watz wenzangu hivi mnaelewa kweli 😭.....hebu jiulize walichukua ruzuku kwa sifa zipi ili hali wanazikana sifa zinazowapa ruzuku, kama siyo UTAPELI na WIZI, Watanzania chadema ni kikundi cha...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

    Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!! https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Back
Top Bottom