hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili swala watanzania hua tunalichukulia poa ila hilo ndilo liloleta majanga zaidi October 2025

    SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala. Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  3. M

    JamiiForums Tanzania MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  4. JamiiForums Tanzania Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii! Kama KATIBA ya JMT ,ipo na inaheshimika,"CCM ombe watanzania Radhi!"

    Ikishindikana,Chacha afukuzwe kazi!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana ya Total Dominance

    Sishabikii mipira maana ni wastage of time particularly when out TANGANYIKA is in the exploitation of a cartel...state capture! Ila this is worth noting
  7. JamiiForums Tanzania Hii inakuwaje?

    Mtu unayemuonaga na kudhani ana akili ukagundua inashabikia Yanga... Mtu unayemchukuliaga ana akili ukabaini ni mwanaccm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

    Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu! Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?! Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pitia Hii Thread - Utanishukuru Baadae

    Mwambie mwanao mapema kabisa kuwa:- 1. Rolls Royce 2. Land Cruiser 3. Lexus 4. G-Wagon 5. Range Rover Havina uhusiano na kusoma kwa bidii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

    Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo. Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Utafiti wa "Google" Kuhusu 'Machawa Waandamizi' wa JamiiForums: Je, Orodha Hii Iko Sawa au Kuna Waliosahaulika?

    Wadau wa JamiiForums, hamjambo! Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni misiba ya watu maarufu iliyonihuzunisha sana

    Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video nimebaki tu kumuonea huruma Antiphas

  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hii John ni Mmoja tu

    Anaandika John Heche. Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka .. Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua mtu wanemtaka. Huyu bwana Mtungi kinyume chake ni kushambulia chama chetu kila siku...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndio Dini Kongwe Duniani

    Kwa mahesabu ya Biblia mpaka sasa Dunia ina miaka 6000. Kwa maana hiyo, tukianza na dini kongwe inaonyesha kuwa kuna miaka 1000 watu waliishi bila dini. Hawakuwa na hizi dini ila walimuabudu Mungu na shetani. Miaka 1000 baadaye hatimaye dini ya kwanza ikaanzishwa, hii ilianzishwa mwaka 5000...
  19. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  20. JamiiForums Tanzania Hii sio AI. Haya ni matokeo ya kumchokoza mpasua mawe wakati wewe unaishi nyumba yenye madirisha ya vioo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…