hela

  1. P

    Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  2. Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
  3. "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

    "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa...
  4. Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  5. B

    Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  6. Hela ya mwanamke

    Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho ◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁 ◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi? ◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi?? ◇ Mapambo...
  7. Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

    Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari. Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
  8. Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  9. Mwananchi asema "Unayeshindana na Dkt. Godwin Mollel nakusanua usitumie hela"

  10. Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

    Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
  11. Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  12. GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  13. Kusema kweli jana nimepiga hela nyingi sana

    Wengi waliipa PSG mazima wakaweka mamilioni. Endelea kubeti kupitia sportypesa.
  14. Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  15. Yuan 1, Chinese currency

    Wajuvi wa mambo ya kiroho hii hela naweza kuifanyia nini maana naona kwa bongo haina thamani kabisa. Nimeikuta kwenye jeans niliyonunua dukani juzi
  16. Demu wako ila kukupa hadi Hela inawezekana vipi?

    Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila...
  17. Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  18. Kijana kabla hujamtumia malaya hela fanya maamuzi ya kumtumia Baba/mama kwanza

    Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe hapa tuna teta na kuelekezana tu. MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya hana shukurani yoyote ile ni rahisi sana kukwambia mbona hujatuma na ya kutolea ? Hicho kidogo ambacho...
  19. Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  20. PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…