hela

  1. stakehigh

    Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
  2. N

    Hela ndiyo kila kitu bhana, Rostam anadhihirisha hili!

    Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
  3. A

    DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa fedha ili apate Anuani ya Makazi (NaPA)?

    KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa. Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za...
  4. A

    KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  5. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  6. kingphisher

    Kuna Jamaa ananidhulumu hela yangu. Nikienda Polisi nitapata haki?

    Wakuu habarini za wakati huu. Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE, FLOOR YA 5, ROOM NAMBA(imehifadhiwa). Katika harakati za hapa na pale ndani ya mji, tulikutana...
  7. Loading failed

    Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  8. Pdidy

    JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  9. Mtemi mpambalioto

    Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  10. Wauzaji wa Container Tz

    Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
  11. Wakusoma 12

    Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  12. GENTAMYCINE

    Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  13. GENTAMYCINE

    Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  14. ndege JOHN

    Kwanini watu hawawekezi kwenye biashara ya ma godown wakati hela nje nje

    Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
  15. DuaZaMama

    Ni kweli Feitoto hana hela, au anawachora tu!

    Utani wa Feisal Fei Toto na wachezaji wenzie wa Taifa Stars, akiwa anakula chakula cha wenzie na kusema kuwa hana hela. Ni kweli Feisal hana hela?😅
  16. B

    Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
  17. jamaikatz

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
  18. bro alex

    Chief God Love kachangia shingapi, hamnaga hela hapo kelele tupu

    HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
  19. mr mkiki

    CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  20. D

    Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

    Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Back
Top Bottom