haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Iko siri gani kwenye haya mabonanza yaliyozagaa Tanzania nzima ?

    Nimelazimika kuuliza swali hili maana kuna msela wangu mtu mzima kabisa na mwenye familia amekuja kwangu kuniomba ushauri wa nini afanye ili aweze kuacha kwenda kwenye mabonanza angalau kwa wiki moja tu Amenieleza mambo mengi sana ambayo mengine siwezi kuyaongea hapa maana mimi bado sijaleft...
  3. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  4. JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo

    Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo tunayoyahitaji-Balance of Power!

    Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
  7. JamiiForums Tanzania Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeongea na robot juu ya Tanzania haya ndio majibu yake

    Wandugu mambo yanaenda kasi sana. Kuna huyu mdudu mpya kwenye mtandao anaitwa ChatGPT. hii ni AI ambayo ipo mbioni kufuta kazi nyingi sana za waandishi habari. Hapa ni machache tu ambayo nilikuwa naongea nayo. Hata hivyo ilinipa moyo baada ya kuona huzuni yangu Asanteni kwa kushiriki
  9. JamiiForums Tanzania Tuombe tuondokane na haya ya Wanasiasa uendawazimu

    Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe Wakati akiwa katika hafla au ufunguzi wa mikutano ya kisiasa, iliyopigwa marufuku kwa takriban miaka sita Nchini Mjini Mwanza, Tanzania. Alimaka. Wakati wa hotuba yake, alieleza safari yake, ya CHADEMA na Vyama vingine vya siasa ilivyokuwa ndefu na ngumu...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
  13. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa waulize wakubwa haya maswali watusaidie majibu

    Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze kushauri na kutuletea majibu. Waulize kwanini Kilo ya Nyama iuzwe 10,000 hadi 11,000 kutoka sh 5,500...
  14. JamiiForums Tanzania MORUWASA hivi haya ndio maji safi mnayosambaza manispaa ya Morogoro?

    Naambatanisha picha na video. Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

    Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
  16. JamiiForums Tanzania Una(me)jifunza nini kwenye haya maisha?

    Whats up guys, How is there? Acha tuendelee wakuu, kila mmoja ana safari ya maisha yake, Wengine wamepita simple/easy way kuwa hapo walipo kutokana na bahati zao ila kuna sisi ambao maybe it's hard without sacrificing ourselves, Me nataka uniambie wewe ukiambiwa uelezee ni nini umejifunza...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu jenerali wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye suluhu, haya kashushwa madaraka

    Nakumbuka humu JF hakukukalika, tuliambiwa huyu ndiye pasua kichwa, ndiye mwenye misifa yote ya kulipua mabomu hata uraiani, maana ameua watu wa Syria sana kule, akategemewa kuwaua raia wa Ukraine, na kweli kaanzisha kampeni kali ya kupelekea mizinga uraiani, akasifiwa sana humu...... Hatimaye...
  18. JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

    Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa. Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
  20. JamiiForums Tanzania Binafsi, nampongeza Rais Samia kwa haya

    Binadamu tumama pungufu yetu na mapungufu hayo ndiyo yaliyo mzaa wingi na wingi ikamzaa ushauri ushauri aka kaa kwa kila mtu nahapo ndipo ika onekana thamani ya kila mtu Kwamba ninapo shindwa Mimi kwenye Jambo gumu ambalo kwangu ni gumu ntalazimika kumtafuta mtu mwenye ujuzi wa Hilo Jambo Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…