Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam.
kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.
Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na...
Hellow african
Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule
Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza...
Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo.
Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
Hello!
Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu.
Sitoi na sitatoa sadaka
●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti.
●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina...
Niko Kilomita zaidi ya elf nane (8, 000 km) kutoka jiji langu la Dar lenye pilika nyingi zinazoninyima nafasi ya kuandika mawazo yangu yawe mchango kwa wengine wanaopambana kama mimi kuwa bora kiuchumi, kiafya, kiimani na kifamilia au kijamii kwa ujumla.
Nikiwa hapa Guangzhou (China) kusaka...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama, CEO Wetu, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC kwani Wao ndiyo Chanzo Kikuu cha Sisi leo...
Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
Badilisha tabia ya umasikini
Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini.
Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike.
Hauwezi kuua umasikini
Unachoweza wewe ni kujitoa kwenye umasikini. Hata kama ukitaka kumsaidia mtu. Utambue kwamba huyo mtu...
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe.
Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...
Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae.
Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile...
Salaam Ndugu zangu?
Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu.
Je maneno haya umeshawahi kuyasikia
Ngawira
Ndarama
Fagilia
Shangingi
Chekibobu
Utajiju
Utaji JJ
Unakumbuka wapi au mwaka gani?
Maneno gani mengine unayakumbuka?
Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake..
Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli:
WHILE THIS...
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
Siku hizi kila muda ni maadili! maadili! lakini wengine hawajui kuwa wanapiga kelele tu zisizo na tija. hebu hizo juhudi za kujenga maadili mema changanyieni na hizi
1.Azam achieni ile chaneli ya ZBC2 iruke watu waangalie bure hata bila kulipia. kama nakosea mtanirekebisha lakini nijuavyo ile...
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi...
Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la.
Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili
Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu
Kielelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.