haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  2. JamiiForums Tanzania Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  3. JamiiForums Tanzania Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

    Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume. Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili Chali. Aiseee hali hiyo ilinitesa sana japo pia nilikuwa naendelea na masturbation mana I was too...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

    Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli . Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa? Na tulitegemea afanyaje...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  8. JamiiForums Tanzania Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  10. JamiiForums Tanzania Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Haya maisha ya namba gani?!

    WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natangaza haya hadharani: Nitapata ajira haraka baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza

    Kutokana na tatizo la ajira, vijana wengi wanaishi kwa msongo huko chuoni juu ya vipi wataishi baada ya masomo. Kwa akili zangu timamu, mimi kijana ninaesoma Shahada ya kwanza ya Ualimu, katika moja ya chuo hapa jijini Dar es Salaam, nina imani kuwa sitakaa mtaani muda mrefu nikisubiri ajira...
  13. JamiiForums Tanzania Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

    Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once. Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Wazazi wananizuia kuondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha

    Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu. Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine. Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  18. JamiiForums Tanzania Ngano ndio kete aliyokua amesalia nayo Mrusi, haya Ukraine kutumia Croatia

    Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya umefunguka.................. July 31 (Reuters) - Ukraine and Croatia have agreed on the possibility of using Croatian ports...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anaratibu haya kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?

    Rais ni mkuu wa Serikali na nchi. Rais ni nembo yetu; fahari yetu; kiongozi wetu na kiungo chetu. Lakini, Rais ni 'mwajiriwa wetu' nambari moja nchini. Ndiyo maana, akifanya vizuri tunamsifu na akifanya vibaya tunamkosoa na kumsema. Tunapaswa kujua anakoenda na anachoenda kufanya. Labda kama...
  20. JamiiForums Tanzania Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…