Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁
Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka...