haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya maradhi sasa imekuwa too much!

    Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua! Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha: 1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia 2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri 3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji 4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia 5. Inga Dams...
  3. JamiiForums Tanzania Maneno aliyoambiwa Kandili haya!

    Alipoona Kandili hajibu neno aliongeza, “Nitakuibia siri yetu wanawake. Sisi huwaweka wanaume wote katika mafungu matatu. Fungu la kwanza ni la wale wanaume ambao tunawapenda kwa dhati. Wanaume ambao tuko tayari kuishi nao kwa heri au shari. Kundi la pili ni la wanaume wazuri wa sura ya umbo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Habari wakuu 1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate 2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii 3. Hakuna motoni wala mbinguni 4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia 5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka...
  5. JamiiForums Tanzania Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

    Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna vipengele ambavyo Mbowe, kama mwenyekiti wa chama chake, anaweza kujifunza: 1. Kujenga Misingi ya Chama...
  7. JamiiForums Tanzania Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

    Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni. Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  9. F

    JamiiForums Tanzania "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, haya ya huyu Diwani wa Kyela 2020 yanaweza kumkuta "mama" 2025?

    Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa namna hiyo hapo Lusungo na ukanda wa Ndamba kwa ujumla. Utawala wake ulikuwa wenye kuudhi watu...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati tunaendelea kula kuku tusisahau tulipotoka, wekeza siku ukiwahitaji usije kuwa mzigo

    Habari za sasa hivi wakuu?? Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji. Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
  12. JamiiForums Tanzania Haya mnaobeti Al Ahly na Yanga SC leo nawapeni Mzola huu ili mumkamue Kanjibai ( Mhindi ) baadae Usiku

    Al Ahly ( Egpyt ) 1 Yanga SC ( Tanzania ) 6 na Goli 5 atafunga Guede na 1 atafunga Pacome.
  13. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu kuyaelewa pindi unapopata ugonjwa sugu

    Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu. Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
  14. JamiiForums Tanzania Maigizo: Mbunge wa CCM Stellah Manyanya adondoka chini baada ya serikali kutoa Tsh bilioni 81 ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay

    Mbunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya, Ali Jumbe na Diwani wa Kata ya Mbambabay,Ajali Hassan wakimsaidia kusimama Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Stella Manyanya aliyeanguka kwa furaha kufuatia Serikali kutoa Bilioni 81 kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari mpya katika Mji wa Mbambabay.
  15. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  16. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad 📆 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa chama cha upinzani 2025

    Sisi wananchi ndo wenye nchi na sisi ndiyo tulioiweka CCM kwenye uongozi lakini kadri mambo yanavyoenda inaonekana CCM haitujali imelewa madaraka. Yafuatayo ni mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa Chama cha upinzani 2025. (1) Ukosefu wa umeme. Hili ni tatizo. Umeme ni jawabu la asilimia kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni jogging hayana impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…