haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana nimegundua haya kuhusu ulokole

    Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la? Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki. Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  3. U

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU njooni Uyui mfuatilie chagamoto zilizopo kwenye ukaguzi wa Majengo

    Wilaya Uyui kumekuwa na kasumba moja ambayo nahisi TAKUKURU wapo likizo. Kumekuwa na kasumba kubwa katika ukaguzi wa majengo yao ambapo yaliyokamilika ambapo ambayo wanakuandikia mapungufu yaliopo katika ujenzi wako wenyewe wanaziita hoja. Katika kujibu hoja hizo hili jengo lako lipokelewe na...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaomuulizia Mzee Mkuchika majibu yenu haya hapa

    Ameonekana katika Tamasha la Yanga bungeni akipiga picha na Aziz Ki
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

    Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
  6. U

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

    Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
  8. JamiiForums Tanzania Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

    Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe...
  9. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni hatari kwa Afya

    Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora. Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  11. JamiiForums Tanzania Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

    1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako. 2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo. 3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi. 4. Pesa ni namba na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wapi ninaweza kununua haya madumu kwa hapa Dar?? (60 litres)

    kama hayo ya chini.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kuongeza kodi sawa, lakini haya yazingatiwe

    wiki hii Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuunganisha malori kilichopo kigamboni, Dar es salaam ambapo serikali inaonekana kuunga mkono hoja ya wawekezaji kutaka kuongeza kodi kwa malori yanayoingizwa kutoka nje ya nchi. Kimsingi sina pingamizi na kuongezwa kwa kodi hiyo lakini...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  18. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

    MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Israel ilisharidhia kama HAMAS, haya mengine ni siasa Natenyahu apate pa kufichia uso!

    1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu! 2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa. 3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…