haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  3. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Haya huko bara kwetu si ni kwa minyamwezi na mihuni, kulikoni mnajaza Meli hivi za Tanga na Dar.

    .
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tabata Bonyokwa tumepata maji siku moja baada ya kulalamika JamiiForums, ila tunaomba haya yazingatiwe

    Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki. Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tegua Haya Mabomu Saba!

    Kuna watu umewaruhusu wawe sehemu ya maisha yako kukupotezea muda tu. Haya ni mabomu! Yamelipua uchumi wako, mapenzi yako, siasa zako, kazi yako, dini yako. Huna hamu ya kuishi! Kuna watu unasema ni watu wako lakini hawajawahi kukupa hela,wala hawajawahi kukupa mchongo wa hela, hata ukipata...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi NASACO ingekuwepo mpaka leo haya ya bandari tungekuwa tunalalamika kweli

    Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
  8. Feisal2020

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhaba wa Ajira kwa Vijana: Serikali Ifanye Haya Kuimarisha Gig Exonomy

    "Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli hiyo itolewe na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Suala la iwapo...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania NMB & CRDB haya mambo mtaweza??

    Hapa nimenunua tu muda wa maongezi wananitumia had email EQUIT wako vizuri aisee…..Hizi benki zetu zinazidiwa na kabank ka kenya…nchi nusu jangwa kama sahala inawazidi TANZIA
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke usikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya

    Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya. Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :- 1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka...
  11. Sidebin06

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  12. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani). Iko hv Juzi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miaka 10 mpaka 25 tukiboresha haya hasa kwenye kilimo

    Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania. Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika ki ufasaha zitabadiliaha sekta ya kilimo ndani ya miaka kumi mpka 25 ijayo kama njia hizo zitafutwa...
  15. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Usugu wa vimelea dhidi ya dawa haya ndiyo maoni na ushauri wangu

    Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  17. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kukufanya ukapokea mapigo kutoka kwa maadui zako wa kiroho

    Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani 1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
  18. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Mambo ya body building haya pale inapoamua kukuvua personality

    Wakuu nadhani huyu mwamba kitu kama msouth ama Zimbabwe kwa lafudhi anatrend sana kwa clips zake huko mitandaoni nadhani ni gym trainer, kwa mwenye details zake amwage hapaa nina wasiwasi naee ama ndo gym side effects???? Jamaa kapiga tizi la kupunguza mafuta bythen kajaa shepu ya nyuma AKA...
  19. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  20. Mr Suprize

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
Back
Top Bottom