hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa hatari sana humu

    Wanamuita Steven Joel Ntamusano Huyu jamaa kweli anastahili kuitwa Great thinker nimemuona kwenye mijadala mingi anayoshiriki yeye ndo huwa anaibuka kidedea bila matusi, bila kashfa yaani unaeleweshwa na unatoka umeelewa kongole sana Mkuu endelea kutupa Elimu
  2. JamiiForums Tanzania Nilionya sana kuhusu kutokea kwa WAASI hapa nchini, sasa tunaelekea pabaya, na hili litaweza kutokea Wallah,

    Habarini Wadau, Niliandika Mada kuhusu WAASI, kuwa ni Watu hatari kwasababu ni watu wanaokuwa na silaha kutoka kwa wadhamini na ni silaha nzito pengine kuliko au sawa na za Walinzi wa Taifa (Wanajeshi) Tuwajue kwanza wanaoitwa Waasi: WAASI NI WATU GANI? Waasi ni Wananchi au Raia au Wanajeshi...
  3. JamiiForums Tanzania HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  4. JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  5. JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  8. JamiiForums Tanzania Lugola: Machawa kundi hatari, wanajificha mafisadi na wabadhirifu

    Kangi Lugola adai kundi la machawa tushio kwa mipango ya Rais Samia kuwaacha Watanzania na Tabasamu Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ametoa maneno mazito Bungeni akidai kuna kundi la machawa ambalo litaenda kumkwamisha mipango ya Rais Dkt . Samia ya kuwaacha Watanzania na tabasamu baada ya muda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  10. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kim Jong Nam 2017 kwa sumu hatari zaidi duniani Nerve agent vx

    Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017 Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia. Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

    Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2. Kukubali kuaguka https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597...
  12. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
  13. JamiiForums Tanzania Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  14. JamiiForums Tanzania Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

    MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29. Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
  15. K

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha kwenda Moshi wamiliki wa magari ya kusafirisha abiria wamepandisha nauli maradufu. LATRA mko wapi?

    Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu. Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda Moshi tunalipa nauli tsh 5,000 na coaster tunalipa tsh 4,000. Leo jioni hii wanalipisha nauli tsh...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msiogope, waovu ni waoga mno, Idd Amini alipokuwa anapanda ngege kukimbilia ughaibuni, alitoa kitisho Cha hatari.

    Salaam! Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini. Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki? Pamoja na vitisho vyote na kujipa vyeo vikubwa, kwanini huwa hawaji wao front, hutuma na kutanguliza wengine...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  18. JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

    Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

    1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic). Vifo: Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…