hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafu Nyamalango: Hatari kwa afya ya wakazi wa eneo hilo

    Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliokuwa na majina lakini wamepotea chini ya Samia...

    Huyu Mama kiboko hii list ni ndefu sio kidogo hawa ni wachache nao wafahamu. 1. Aliyekuwa Makamu mwenyekiti CCM (Kinana) 2. January Makamba, 3. Kassim Majaliwa 4. Doto Biteko 5. George Simbachawene 6. Job Ndugai 7. Tulia Ackson 8. Phillip Mpango 9. Jennister Mhagama 10. Humphrey Polepole 11...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo Mitaa ya Likoma & Masasi Street maji taka yanatiririka barabarani, ni hatari kwa Watu

    Hali ya maji taka yanayotiririka barabarani katika maeneo ya Likoma Street na Masasi Street, Kariakoo – Dar es Salaam. Kwa sasa ni siku kadhaa hali imekuwa hivyo, yanatiririka barabarani, hali hii imekuwa kero kubwa kwa watembea kwa miguu, hasa pale wanapopishana na Vyombo vya Moto na kurushiwa...
  5. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

    Hivi doto magari anajielewa kweli? Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli? Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume... Na wamatumbi tu bwana.. Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya...
  6. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipofikia kuna hatari ambayo itakuwa kama ilivyofanya rwanda na burundi.

    Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri. Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu. Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu. Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Kivuli: Tafakari ya Kifalsafa Juu ya Siasa za Kijiopolitiki na Hatari ya Kupotea kwa Utu

    Tangu kale, mwanadamu amekuwa akitafuta maana ya kuwepo kwake kupitia mahusiano na wenzake. Hata hivyo, pale ambapo jamii zinapokutana na mipaka ya kijiografia, dhana ya utu mara nyingi humezwa na dhoruba inayojulikana kama siasa za kijiopolitiki (Geopolitics). Kwa jicho la kifalsafa...
  9. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Ujumbe ambao Hatari Mkapa aliwaambia CHADEMA

    My Take Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo ni hatari sana, ni Janga kubwa, naomba tufahamishane

    Vikwazo maana yake ni kutengwa na mataifa katika nyanja mbalimbali Vikwazo ni hatari sana,ni janga na vinatesa sana. Kuna aina nyingi sana za vikwazo lkn vikwazo kwa kiuchumi na kisiasa ni hatari kuliko vyote. -Kuna vikwazo vya nchi moja kuiwekea vikwazo nchi nyingine,mfano Marekani kuiwekea...
  12. fact only

    JamiiForums Tanzania Ni Hatari Wakuu sikiliza hii Video

    Hellow wana JF. Nimeweka video hapo chini.👇👇 Watu wanamaumivu makali, watu wanauchungu mkubwa, watu wamekata tamaa kabisa, watu wamechanganyikiwa, watu wana vidonda vya moyo visivyo kauka, watu wana msongo wa mawazo, watu wameingiwa na ushangingi wakudumu. Ila Ninacho hitaji kusema hapa...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  14. puker

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuingia kwenye matatizo bila kutegemea? Ulifanya nini kuondokana nayo?

    Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa? Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye amewahi kujikuta kwenye hali kama hii. Mimi ni mtu ninayependa kusocialize. Ninaamini sehemu kama baa...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Emma ni hatari kuliko Samuya, mwogopeni zaidi Emma

    1. Emma ndo turufu ya mwisho iliyobaki CCM kusawazisha mambo na ikiwezekana awapumbaze. 2 JK anamtumia Emma kimkakati 3. Emma anamtumia nguvu ya Utanganyika, JK anamleta Emma anajua majority watampokea kwakuwa ni Mtanganyika 4. Emma anakuja Kwa mbinu ya udini (ukatoliki) anajua kwakuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Lipo jitu lenye miguvu na mapembe makali linaloamua mustakabali wa nchi yetu linauwa linajeruhi ni hatari kwa kila mtanzania

    Assalam alaykum Jitu hili sio la kufanyia mchezo litangamiza roho za watu wengi mno Jitu hili ni hatari hata kwa viongozi wakuu wa nchi, hizi lawama anazopewa mama yetu ni bure hili jitu ndilo linalofanya hiki mnachokiona hata mama mwenyewe hana cha kuliambia Rais aliyepita...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo la Murubona - Kasulu Kigoma ni Hatari kwa Afya na Mazingira

    Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa hapo Mwaka 2023. Harufu mbaya ya taka, wadudu wasumbufu imekuwa tatizo kubwa.jambo hili linakingiwa...
  18. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kupizi kwa mara kwa mara huchangia hatari ndogo ya kupata kansa

    Source: National Institutes of Health (NIH) | (.gov) Reduction of Prostate Cancer Risk: Role of Frequent Ejaculation-Associated Mechanisms - PMC
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hawa COs waliopo mahospitalini ni hatari kutiba watu?

    Nimeona hizi tuhuma kwa Dr.Newton mhenga…🧑🏿‍⚕️ nikasema niwaulize wataalamu wa afya waliopo humu kama zina ukweli wowote. Millenials wengi tumetibiwa na hawa COs. Zamani zile madaktari walikua wachache na kuwapata hadi hospitali kubwa. Zahanati na vituo vya afya huduma zilitolewa na COs na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samia na Tundu Lissu nani Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu

    Hilo swali hapo juu huwa linanisumbua. Nikiwaangalia wawili tajwa, na;pata taabu kidogo. Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu. Wawili hawa wametawala siasa za nchi yetu hadi kuanza kuvutia mataifa na mashirika ya nje. Lissu ni mfungwa. Samia ni rais. Lissu anajionyesha kama...
Back
Top Bottom