hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania CCM wametengeneza uadui na Wananchi badala ya kubakia wa vyama tu kitu ambacho ni hatari zaidi wajitafakari

    Kipindi cha Magufuli madarakani alivipiga pin vyama vya upinzani lakini moja kati ya kitu alikiweza ni kugusa raia wengi hasa wale wa Hali ya chini na ndio maana akawa anasapoti kubwa ya watu akifanya Mambo mengi makubwa kulikuwa hakuna suala la kukatika umeme na ikitokea lazima uone Taarifa...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

    Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania. Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna John Heche anaweza kuchomoka kwenye hili

    https://www.youtube.com/live/oLQsox2lUog?si=CJFvGWpLngaSv3H9 Hebu msikilize kiongozi huyu wa chadema anavyojaribu kutetea matumizi binafsi ya pesa za chadema :1Head: Mungu Ibariki Tanzania
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Heche: Kazi ya siasa imegeuzwa kuwa ya hatari, kila ukitoka umekubali watoto wako kuwa yatima

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema "Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya hatari. Ni kazi inayopaswa kuwa ya halali kabisa. Tangu mwaka 1992 tuliridhia kwamba tutakuwa na...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

    Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante. Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni...
  6. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania In the Year 2525: Wimbo wa 1969 Uliotabiri Hatari ya Teknolojia kwa Mwanadamu

    Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani. Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu ziliwavutia wengi kiasi cha kushika namba moja Marekani na Uingereza, huku ukuuza zaidi ya nakala...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Hawa the Africa wilddogs ni hatari sana wanashambulia in park yan 10mins buffalo yuko chini.

  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watu hatari katika taifa hili au machawa hatari

    1. Chalamila 2. Kihongosi 3...,.........
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

    Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona. Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  16. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Mimi ni mdau katika jamii ya wapambanaji, mjasiriamali ile mbaya. Hata hivyo, kwa sasa naona kama nakata tamaa baada ya kukutana na mama mmoja hivi. Kiukweli, nilishawahi kumiliki biashara ndogo ndogo kama vile migahwa, duka, na baa. Bila kusahau ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler—hapa...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari

    Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
  18. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Wingi wa maarifa na hatari YA sonona

    Simple observation nilioifanya Naona watu wenye maarifa kiduchu na taarifa chache juu ya ulimwengu na hekaheka zake wanafuraha kuliko wasomi na wajuvi wa mambo. Wao masuala kama YA Vita na mashindano YA geopolitics hawana habari nayo,mambo YA ushabiki wa Mpira,Maisha mlinganisho YA mitandaoni...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Mafuta na Hatari ya Migomo na Maandamano Nchi Nzima

    Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi. Angalia mwenendo wa bei Dar: Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115 Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248 Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
Back
Top Bottom