Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini.
2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ?
3. Bunge sasa...
Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
Wadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa
Kwa walimu pia
Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi
Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja
Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua
Polisi jitambueni sisi...
Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania.
Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu.
Kiualisia mimi ni...
Salaam!
Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana.
Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda...
Niweke wazi kwanza, mimi sio timu Tawala wala Tawaliwa bali timu maendeleo.
Kila kukicha tunaona makundi yanaibuka yanayosema kocha wetu anaupiga mwingi hadi unamwagika lakini bahati mbaya ni makundi ya wachezaji tu sio mashabiki.
Kocha anashindwa kufanya sub-konki za kutupa alama tatu...
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.
Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
Ndugu wanabodi mimi naomba kupendekeza kama kunaweza kupatikana taasisi yoyote iwe ndani au nje ya nchi yenye kuheshimika na kuaminika isiyo na upande wowote basi tuialike iwaite mezani serikali na chadema ili kuondoa hizi chokochoko zinazowndelea.
Serikali inaweza kudharau na kuona kana kwamba...
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi
Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na...
Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema.
Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote...
Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.
Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia...
Hii timu inaingia leo tayari kuelekea zanzibar kukumbana na mnyama katika hatua ya nusu fainali, nimefurahi sana ngoma kupigwa uwanja wa amani wa zanzibar, uwanja wa Taifa tunaupenda lakini tunatumia nguvu mno kuwadhibiti wabaya wetu na kuwadhibiti wapinzani, kule zanzibar wengi tumewapunguza...
Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador.
Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.