Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita.
Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu.
Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
afrika
afrika mashariki
george
halihali mbaya
jimbo
kanisani
kenya
kidogo
kujeruhiwa
kupigwa
kwenda
mashariki
mbaya
mbunge
mbunge atekwa
mbunge wa kenya
mji
mkewe
nchini
nje
shambani
utekaji
wako
wanaharakati
wapi
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea.
Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
I will be short
ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna
this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
Mlinzi wa Mwanasiasa wa Upinzani Nchini Uganda Bobi Wine, Edward Ssebuufu maarufu kama Eddie Mutwe, alifikishwa mahakamani Jana akiwa katika hali mbaya ya kiafya akiwa anatetemeka na kulia kama mtoto…, akisaidiwa kutembea kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa rumande. Mawakili wake walieleza...
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .
Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.
Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema...
Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti
Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita.
Hamas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.