hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

    Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
  2. JamiiForums Tanzania Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Uingereza liko kwenye hali ya tahadhali ya kivita

    Jeshi la Uingereza liko kwenye "utayari wa kupigana vita" na linasema kuwa liko chini ya tishio moja kwa moja na vikosi vya uhasama/Maadui.
  5. JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kipindi cha corona asingekua jiwe hali ingekuaje?

    Kwema wakuu, Najaribu kuwaza tu hata hili deni lingekuaje, hali ya jamii pia Na vipi kuhusu nyanda zingine. Nawaza tu usichukulie serious sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama na Polisi wasiopenda hali hii tunaelekea pazuri

    Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

    GT. Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule Yote haya ni kumkamata Lissu
  10. JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  13. JamiiForums Tanzania Najisikia kutapika lakini sitapiki. Shida itakuwa ni nini?

    Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef sana hadi kufikia hali ya kutema mate kila muda hii hali inatokana na nini?NB:ana mke lkn sio mjamzito
  14. JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

  16. JamiiForums Tanzania Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  17. D

    JamiiForums Tanzania ccm hata wakishinda uchaguzi, maana watashinda, hali imekuwa mbaya reputation imechafuka kabisa

    I will be short ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mlinzi wa Bobi Wine alifikishwa mahakamani Jana akiwa katika hali mbaya ya kiafya

    Mlinzi wa Mwanasiasa wa Upinzani Nchini Uganda Bobi Wine, Edward Ssebuufu maarufu kama Eddie Mutwe, alifikishwa mahakamani Jana akiwa katika hali mbaya ya kiafya akiwa anatetemeka na kulia kama mtoto…, akisaidiwa kutembea kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa rumande. Mawakili wake walieleza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  20. JamiiForums Tanzania Boni Yai ni Great Politician na ana maturity ya hali ya juu- Big brain

    I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those . Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae. Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…