haki

  1. O

    Familia za Watu Waliotekwa Mombasa Zatafuta Haki Mahakamani

    Familia za watu waliopotea katika mazingira yanayoshukiwa kuwa ya utekaji nyara katika Kaunti ya Mombasa zimechukua hatua ya kutafuta haki kupitia mahakama, zikizitaka mamlaka za usalama kueleza mahali walipo wapendwa wao. Familia hizo zinasema zimekuwa zikikabiliwa na maswali mengi bila kupata...
  2. Ni kituko na kichekesho Rais kutafuta Maridhiano na Vyama vilivyomuunga Mkono na vikasema UCHAGUZI Ulifanyika kwa uhuru na haki na Amani!!.

    Hapa lazima Uchanganyikiwe kama una akili timamu. Una lazimika kua mjinga sana ndio unaweza kushiriki na kuziweka maanani vichekesho kama hivi. Vyama vilivyokuambia, Rais Umeshindaaa, kwa 98%, umeupiga mwingi, UCHAGUZI umefanyika kwa amani na Ulikua Huru. Duuhh unaridhiana nao nn sasa hahahaha
  3. T

    AFCON NI GOLDEN OPPORTUNITY KWA WAPENDA HAKI

    Jamani wale wote wapenda haki, AFCON tuitumie kupiga a final blow kwa hii miuaji
  4. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  5. G

    Je, ni haki kubadilisha mitaala ya masomo wakati wanafunzi tayari wako masomoni?

    Kuna changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kutokana na mabadiliko ya mitaala yanayofanyika wakati tayari wameanza masomo. Baadhi yao hulazimika kusoma masomo mapya ambayo hayakuwepo kwenye mitaala waliyoanza nayo, hali inayoweza kusababisha kupata retake, kuchelewa kuhitimu...
  6. Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Hello guys Nina jambo linanifikirisha, jambo lenyewe ni kuhusu mfuko wa hifadhi ya jamii Katika ofisi za umma na makampuni binafsi kuna utaratibu wa kuwasajili wafanyakazi wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na hili lina msingi wa kisheria Lakini mimi nataka kueleweshwa 1. Je kama mimi ni...
  7. S

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
  8. M

    Wao hawakua na subira,wakamfuta kazi,anadai malipo asepe zake,wanamwambia asubiri.kwa hiyo wao pekee ndio wana haki ya kusubiriwa?

    mtumishi wako amefiwa,tena kafiwa na mwanae anaomba siku 7 unampa 3.kweli? Akiwa kwenye majonzi anahitaji faraja,unamwambia umemfuta kazi (kienyeji tu),anakubali.anakuomba umpe stahiki zake unamwambia asubiri sijui masuala ya bank yamefanyaje!! ASUBIRI! Mmenifuta kazi ghafla mnilipe ghafla...
  9. Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
  10. Magoigoi ya kike kuhusu haki sawa.

    Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔 Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅 Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki...
  11. R

    Let us propose Justices of Appeal ambao at least wana rekodi ya kutoa hukumu za haki ie BOLD JUDGES OF THE COURT OF APPEAL

    Majaji wa mahakama ya Rufaa ambao bado wanatenda haki, na hivyo wakipewa kesi ya Lisu watatenda haki 1. .........................................
  12. R

    John Heche:Tendeni haki

    Sehemu ya hotuba ya Heche katika mazishibya Mzee Alute Mgwai
  13. Amani , haki ni muhimu Kwa watanzania wote.

    Salaam jamiiforum. Tupendane,tuhurumiane,na tusameheane, maana hakuna mkamilifu kwenye uso wa Dunia. Tusilipiziane visasi,tusiumize kizazi kingine Kwa makosa ya kizazi kilichopita. Tusiendekeze itikadi na misimamo ya kidini,hii itatugawa mapema kama mwanga wa radi. Yaani mkatoliki ajione ana...
  14. M

    Haki sio kushinda, Hata kushindwa ni haki pia

    Watanzania ebu tuache mihemko ya Kisiasa inayozidi kujenga Uadui baina yetu. Labda niwaulize:- Hivi kweli kwa akili timamu kabisa Ukiisikiliza ile clip ya Tundu Lissu akiwahutubia Watia nia kwa kutumia maneno haya:- "Tutahamasisha Uasi, Tutazuia Uchaguzi, Kitakinukisha na Hakuna Uchaguzi" na...
  15. Bwana Aretas James Lyimo jiandae kisaikolojia. Hii nchi hakuna haki wala kunyooka

    Kama yupo hapa JF nafahamu CV yako umenyooka sana ila walio kuwa kwenye hii serikali ujiandae kisaikolojia. Kwa ujasili wa kukamata kilo 299 ni uwezo mkubwa sana wa kupinga hata kuwongwa. Ila ujiandae kisaikolojia kama nchimbi,pole pole na wengine maana haramu ya madaraka iliyopo. Wana JF...
  16. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  17. Hoja ya kubadilisha shtaka chini ya Kifungu cha 319 cha CPA inahitaji kuchunguzwa pamoja na masharti ya haki ya kusikilizwa na kujitetea

    Wasalaam Wakuu Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
  18. Jitu linajijua ni limchepuko(bidhaa ya magendo) halafu linadai nilipe HAKI. haki gani kiroboto wewe

    JITU LINAJIJUA NI LIMCHEPUKO(BIDHAA ya MAGENDO) ALAFU LINADAI NILIPE HAKI. HAKI GANI KIROBOTO WEWE. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Kwanza ujue wewe ni bidhaa ya magendo. Hilo liweke Akili. Kama uliwahi kuona Bangi inauzwa Famasi au Duka la dawa muhimu Dai haki zako. Mimi ni Mhuni kwako kwa...
  19. Haki inaanzia ngazi ya Familia. Anza harakati za haki nyumbani kwako.

    HAKI inaanzia NGAZI YA FAMILIA. ANZA HARAKATI ZA HAKI NYUMBANI KWAKO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hasa wanaharakati hupenda sana kuzungumzia suala la haki. Kusema, tunataka haki, haki haki ifanyike. Lakini huitaka haki wakiwa nje. Nje ya milango ya nyumba zao. Kwa sisi...
  20. C

    Mrisho Gambo: Nawatia Moyo watetezi wa haki historia itawakumbuka

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema misimamo ya familia ya Lissu katika kusimamia haki na ukweli imejengwa tangu ngazi ya familia, akieleza kuwa marehemu Wakili Alute Mughwai Lissu alikuwa mfano wa mtu aliyesimamia kile alichokiamini bila kujali tofauti za kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…