habari

  1. G

    Waandishi wa Habari za Uchunguzi, tusaidieni katika hili

    Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa. Asanteni.🙏
  2. Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  3. Nafurahishwa sana na utangazaji wa watangazaji EATV habari

    Pamoja na kwamba wanatumia camera za zamani sana kurekodi taarifa Yao huku watangazaji wakiwa hawaonekani vizuri ama kuonekana wanene kuliko kawaida lakini Samsoni Charles na jopo lake wanahabarisha kwa weledi mkubwa Hali hii imepelekea wao kuwa vinara wakiwapiku wenzao wa ITV,Channel Ten,Star...
  4. S

    Mambo ya kuficha ID kwenye JF; unaweza kukuta Erythrocyte ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah lakini hawana habari, sasa siku wajikua!

    NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako! Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
  5. Nimepata habari hata JF itapewa kesi October 29 .

    Kuna maelezo kuwa kutoka kizimkazi kuwa huu mtando wa JF na mmiliki wake wataunganishwa kwenye tuhuma. Na wengine waliopo kwenye list wachokonozi,khalid ze chanzo,odemba na wengine wengi. Na aliyepewa haya kuongoza ni huyu kijana wa bukoba ndio kapewa kazi hiyo kucontrol polisi na mahakama...
  6. Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

    Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
  7. M

    MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  8. KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  9. A

    KERO Mwekezaji anafanya ubaguzi wa wazi wazi kwa wafanyakazi wazawa Wilaya ya Musoma

    Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira. Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
  10. R

    Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  11. Hatuwezi kutoboa, waandishi wa habari vilaza na hawasemi ukweli.

    Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia. Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili. Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
  12. K

    Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  13. E

    Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  14. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  15. Wakuu habari....

    Hivi ile kula tunda kimasihara bado ipo?
  16. A

    Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  17. Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  18. waandishi wa habari kuwahoji watu kwa video call huku wakiendesha gari hii imekaaje

    salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
  19. A

    KERO Changamoto ya vitambulisho kwa watumishi wa Jeshi la Uhifadhi

    Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano bila kuwa na kitambulisho cha kazi. Wahusika wanakwama wapi? Hali hii inawaweka watumishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…