habari

  1. R

    Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  2. Idugunde

    Hatuwezi kutoboa, waandishi wa habari vilaza na hawasemi ukweli.

    Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia. Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili. Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
  3. K

    Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  4. E

    Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  5. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  6. Mtundu wa Tech

    Wakuu habari....

    Hivi ile kula tunda kimasihara bado ipo?
  7. A

    Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  8. Dogoli kinyamkela

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  9. ugali dagaa

    waandishi wa habari kuwahoji watu kwa video call huku wakiendesha gari hii imekaaje

    salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
  10. A

    KERO Changamoto ya vitambulisho kwa watumishi wa Jeshi la Uhifadhi

    Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano bila kuwa na kitambulisho cha kazi. Wahusika wanakwama wapi? Hali hii inawaweka watumishi...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tahadhari unapotea Mwananyamala. Je mmesikia habari ya kijana wa Kinyasa aliyeua watu wanne kwa kuwakata kwa panga?

    Huko Mwananyamala kuna kijana wa Kinyasa, mpaka sasa ameshawaua watu wanne kwa nyakati tofauti na mpaka sasa hajakamatwa. Ukiwa pande hizo hakikisha unatembea kwa tahadhari ya hali ya juu.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    HABARI ZA HIVI PUNDE🚨 IRAN YAKAMATA NYAMBIZI YA PILI ISIYOKUWA NA NAHODHA YA MAJINI YA MAREKANI KATIKA NJIA BAHARI YA HORMUZ

    Jeshi la Wanamaji la IRGC la Iran linasema limekamata chombo kisicho na piloti cha chini ya maji cha Marekani aina ya REMUS 600 kinachofanya kazi katika Njia Bahari ya Hormuz. Kulingana na IRGC, operesheni hiyo ilihusisha uwezo wa kijasusi na vita vya kielektroniki, na inasemekana chombo hicho...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Leo Hii Watu Wanapuuza Habari za El Nino kama Wakati Nuhu Anawahubiria watu Kuhusu Ujio wa Gharika watu walimpuuza

    HAKIKA LEO HII WATU WANAPUUZA TAARIFA ZA EL NIÑO KAMA VILE NYAKATI ZA NUHU: Je, Tunasubiri Gharika Itukumbuke Ndipo Tuamini? Ndugu zangu wa JamiiForums, leo nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa jamii yetu linapokuja suala la kuchukulia kwa uzito tahadhari zinazotolewa na mamlaka za hali ya...
  14. Roving Journalist

    Msimamo wa ACT dhidi ya Operesheni ya Serikali kuwaondoa Wamachinga Nchini

    https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026 Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
  15. R

    GPA ya 3.2 degree katika nafasi za kilimo anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikarin!?

    Habari ndugu na jamaa. Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
  16. C

    Kitengo cha habari Simba wekeni kumbukumbu ya wanasimba wanaotumika kuhujumu timu kabla ya mechi za derby

    1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni. 2. Viongozi wanaoanzisha ***** ***** na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao 3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
  17. Kaka yake shetani

    Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  18. A

    KERO Nimesoma Chuo cha Udereva Meru, kwanini sasa natakiwa kusoma tena nikiomba leseni?

    Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni. Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
  19. R

    Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Ikulu ya Marekani imezindua kituo cha matangazo ya kidijitali cha saa 24 kinachoitwa “Trump TV: The Essentials Station" huku mvutano kati ya utawala wa Rais Donald Trump na baadhi ya mashirika makubwa ya habari nchini humo ukizidi. Kwa mujibu wa Ikulu, jukwaa hilo litaangazia video muhimu...
Back
Top Bottom