gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu. Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Miradi na mipango mikubwa ya kimkakati ni kaburi la siasa za upizani, hili la bandari ni mojawapo. Rais songa mbele matokeo ni mazuri

    Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo: Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora. Pili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

    Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kuanzia biashara ya mabango ya 3D na 2D

  5. S

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

    Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo. Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  9. JamiiForums Tanzania Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

    Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua vitu vya msingi na gharama kufungua radio ya kidini inayoshika wilaya au mkoa tu

    Rejea kichwa cha habati hapo juu. Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania. Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaitaka Amazon Web Services kulipa VAT. Wateja wake Tanzania watangaziwa ongezeko la gharama

    Kampuni ya Amazon Web Services EMEA Sarl ("AWS Europe") imetoa tangazo muhimu kuhusu mabadiliko ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 1 Juni 2023, AWS Europe itatoza VAT kwenye mauzo ya huduma za elektroniki kwa wateja wasio wa biashara nchini humo. Barua pepe...
  12. JamiiForums Tanzania FISTULA inatibika na kupona kabisa bila gharama/bure!

    Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo). Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na huduma hii kwa sasa inatolewa bure kabisa. Kama mgojwa yupo kijijini na akawa hana nauli ya kwenda...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

    Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua. Nitazungumzia...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…