Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu.
Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea.
Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
Habari, kutokana na uwepo wa joto katika mazingira yetu ya nyumbani na maofisini
kampuni ya OKEMI technical services imekuletea OFA KUBWA yaani punguzo la bei kwa 30% za AC na kufunga AC kwa gharama nafuu zaidi kutoka kwa mafundi wetu wenye uzoe wa miaka nane ya kutoa huduma za kufunga na...
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.
sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=
Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
Ila kwa...
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo.
Mbali na kupunguza...
Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki)
Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
Habari wakuu,
Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu.....
Here's everything we know
Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie.
Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k,
Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali?
Je, yanafaida gani kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea.
Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.