- Kukatika katika hovyo kwa umeme
- Fukuza fukuza ya machinga
- Kuongeza nauli hovyo hovyo
- Ubovu wa miundombinu ya barabara
- Kukwama kwa miradi mbalimbali
- Mfumko wa kutisha wa bei
- Rushwa iliyokithiri
Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage.
Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kesi
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mama lishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo
Haraka kwenye mada, mambo ni mengi,
Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo,
Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno,
Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
Kama Tangazo linavyo jieleza..
Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji ..
Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja
Tuka msikilize Baba Mtakatifu.
Tukaone masalia matakatifu.
Tukaone...
Habari wakuu,
Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133.
Mbali na Hati za...
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.
Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921.
Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni.
Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.