gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. amicky008

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia Contemporary House niza Gharama Nafuu ni nani?

    Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga! Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary House" niza gharama nafuu? Zile nyumba usipokuwa na pesa nakwambia utadhalilika na hakika utakuwa mmoja...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  4. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga 20 bora ya vilabu vilivyotumia gharama kubwa zaidi kufanya usajili Mwaka 2023

    Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba hiyo. Hata hivyo katika kutumia lipa namba, kuna gharama ambayo mteja anakatwa, lakini gharama...
  6. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF wanatoza gharama kubwa kubadili kadi chakavu?

    NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa. Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu. Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Pamoja na agenda hii kuwa katika sharti mojawapo ya maandamano ya CHADEMA ni vema Serikali ikawafikiria wananchi juu ya kutatua tatizo hili. Wananchi wanapitia maisha magumu ikiwa ni pamoja ukosefu wa umeme, bei ya mafuta, gharama ya usafiri, bei ya sukari, nyama, samaki na bidhaa nyingi...
  8. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi kuanza kutoza gharama za kusoma taarifa zao

    Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  11. father-xmas

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

    Habari waheshimiwa. Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike. So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua. Naomba kujua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Jana nilimuona Jamaa mmoja akishauri nini cha kufanya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Hoja yake ambayo mimi naiita hoja nyepesi alishauri wananchi kuwa kwa kuwa sasa nchi inapata mvua basi ni wakati muafaka watu kujikita kwenye kilimo ili kuepukana na gharama ya kupanda kwa maisha...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za finishing

    Mwenye uzoefu na gharama zifuatazo anambie nyumba ina vyumba vinne, jiko seble, vyoo viwili na bafu Gharama ya plaster= Kupaka rangi= Wiring= Plumbing= Tiles=
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Tanzania inawezaje Kuwasaidia Wananchi Kumudu Makazi ya Gharama nafuu?

    Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hasara na gharama za uchawa

    Inasikitisha sana kumkuta kijana mwenye nguvu chini ya miaka 40 ameingia kwenye uchawa na kushabikia vitendo vya uchawa. Mtu aliyechagua maisha ya uchawa anaweza kudhani kuwa amechagua maisha ya mteremko (kitonga) ama kwa kujitoa ufahamu au kuchukulia kirahisi madhara ya uchawa. Tatizo chawa...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
Back
Top Bottom