geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mti ulioanguka na baadae kusimama wenyewe Geita ni sayansi wala siyo ushirikina kama wengi wanavyoripoti

    Iko hivi! Kuna taarifa ya mti uliokuwa umeanguka kuonekana umesimama tena baada ya kukatwa matawi huko geita. Tukio hili wengi wamelihusisha na imani mbalimbali za dini zao! Lakini kiuhalisia mambo kama haya hutokea na kwa sisi tulioishi porini tushashuhudia sana wala si mara moja! Sayansi...
  2. Waufukweni

    Taharuki yazuka Geita mti ulioanguka wasimama tena ghafla

    Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa...
  3. The Watchman

    Geita: Wananchi wahoji juu ya mapato ya 10% wanayotoa wakati wa uuzaji wa viwanja, wawataka viongozi wa serikali za mitaa kuwasilisha ofisini

    Baadhi ya wakazi wa kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamewaomba viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo yao kuwasilisha asilimia 10 ofisini zinazotokana na wananchi kutoa baada ya kuuza maeneo yao. Hayo yamebainishwa leo Marchi 19, 2025 na baadhi ya wakazi wa mtaa...
  4. shuka chini

    Geita: Mwalimu ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia

    Mwalimu wa shule ya msingi ng'weja mwalimu Nteba. M . Shija (36) ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia. Tukio hilo limetokea juzi 13/3/2025.mwalimu huyo aliamka siku hiyo akiws salamq akaenda shule ila baada ya kutawanyisha watoto mida ya saa tano akawa amerudi nyumbani kwake muda huo mke wake...
  5. Roving Journalist

    Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe (Geita), Wazawa waitwa kuchangamkia fursa

    ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango...
  6. The Watchman

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa wa Geita yapitisha mgawanyo wa Majimbo ya Chato na Busanda kwa maendeleo

    KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  8. The Watchman

    Abdurahman Yunusu adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na Land Cruiser Geita, majibu ya polisi hayaridhishi

    Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye ametoweka kwa siku 13 katika mazingira ya kutatanisha. Pia Soma: Mfanyabiashara wa huduma za kifedha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  10. The Watchman

    PreGE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo

    Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana na ubovu wa barabara hali iliyopelekea kutembea kwa mguu ili kwenda kukagua miradi hiyo iliyopo...
  11. The Watchman

    NHIF Geita yatoa vifaa vya kujifungulia kwa mama wajawazito

    Serikali inakamilisha Utaratibu wa Kaya zisizokuwa na uwezo kupatiwa Bima za Afya za NHIF ambazo zitalipiwa na Serikali ili Kaya hizo ziweze kuwa na Bima hizo sambamba na kuondoa changamoto na Malalamiko ya wananchi kutoka katika Kaya hizo. Hayo yameelezwa na Meneja Mfuko wa Taifa wa Bima ya...
  12. The Watchman

    Wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila

    Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa watoto wao, na kwamba zitaongeza thamani ya ardhi, kupunguza migogoro ya ardhi, na kuwawezesha kuwa na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constantine Kanyasu wakamewa

    Viongozi wa chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na Jumuiya zake Kutoka maeneo tofauti ikiwemo tawi la Katoma, wamejitokeza na kukemea vijana waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constantine Kanyasu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  14. The Watchman

    PreGE2025 Mbunge Geita mjini: Anayetumia gharama kubwa kutafuta uongozi ni mwizi

    Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo. Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025 akiwa kwenye kikao cha ndani Cha Halmashauri kuu ya CCM tawi la katoma kata ya Kalangalala mjini...
  15. The Watchman

    PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  16. The Watchman

    Serikali yakamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita

    Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika. Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema daraja hilo lilikuwa moja ya changamoto kubwa aliyokuwa akiitafutia...
  17. DogoWaNjombe

    Mkuu wa Mkoa wa Geita awafukuza kikaoni Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
  18. The Watchman

    PreGE2025 Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi

    Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi. Kauli hiyo ya Kanyasu imekuja siku moja baada ya Mkuu wa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    RC Geita awaamuru watendaji wa GGML kutoka nje ya kikao kwa kutotoa majibu ya CSR

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewaamuru watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa Kikao cha Kamisheni cha Mkoa (RCC) baada ya kutoridhishwa na majibu juu ya utoaji wa malimbikizo ya pesa za uwajibikaji wa makampuni kwa jamii (CSR) ambazo...
  20. S

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
Back
Top Bottom