geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Geita: Radi yajeruhi wanafunzi 20

    Wanafunzi 20 wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Dkt. Kalemani iliyopo Kata ya Bwongera, Wilaya ya Chato mkoani Geita, wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua ikiendelea kunyesha. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Hamis Wambura, amesema tukio hilo limetokea wakati wanafunzi hao...
  2. Alexido jz instagram

    WALWA ALIPIGWA RISASI, IKAJAGUNDULIKA NI FULANI, GEITA ILISIMAMA KWA MSHANGAO....

    Miaka kadha kitambo huko, enzi hizo inshu ya miamala y kifedh almaarufu mpesa, ndio yameanza kuingia mawakala walikua wachache sana, hasa mikoani. Pale geita alikiwepo tajiri mmoja aitwae walwa shop, jamaa alikua na duka kubbwa la miamala, njia ya kwenda benki ya nmb na nbc miaka hiyo, biashara...
  3. A

    RESOLVED Wachimbaji Wadogo wa Madini Geita tumerejeshewa fedha zetu, asanteni JF

    Tunashukuru sana JamiiForums kwa kutuwezesha kulipwa stahiki zetu, sisi ni wale wachimbaji wadogo ambao tulitumia Jukwaa la Fichua Uovu kuelezea suala letu la kutolipwa fedha tuluzochanga kwa ajili ya safari ya Canada lakini haikuwezekana kwawengi wetu. 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐰𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐲𝐚...
  4. Design Your Idea

    HII SASA IMETOSHA AISEE: Kijana (21) amefariki dunia kwa kujinyonga Manispaa ya Geita huku chanzo kikidaiwa kuwa ni changamoto ya mahusiano

    .
  5. UTPC

    Jasho lisipotee ghalani: Njia za kuokoa mazao ya wakulima wa Geita

    "Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno. Katika sehemu...
  6. UTPC

    Jasho shambani, hasara ghalani: Chanzo cha upotevu wa mazao Geita

    Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
  7. UTPC

    HOJA Uhifadhi mbovu unavyonyonya jasho la wakulima wa mkoani Geita

    Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida. Baadhi...
  8. UTPC

    Jasho lisipotee ghalani: Njia za kuokoa mazao ya wakulima wa Geita

    "Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno. Katika sehemu...
  9. UTPC

    Jasho shambani, hasara ghalani: Chanzo cha upotevu wa mazao Geita

    Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
  10. UTPC

    Uhifadhi mbovu unavyonyonya jasho la wakulima wa mkoani Geita

    Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida. Baadhi...
  11. A

    KERO Watumishi tuliohama Hospitali ya Wilaya ya Nzera - Geita hatujalipwa malipo ya 'extra duties'

    Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
  12. A

    KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Wachimbaji Nyakagwe Geita: Tuligundua eneo lina madini, tukaanza kuchimba, lakini sasa tunaambiwa tuondoke

    Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyakagwe, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita, wameiomba Serikali kuingilia kati suala la kuondolewa katika eneo la uchimbaji, wakidai kuwa walilitambua na kuanza kulifanyia shughuli za uchimbaji kabla ya kuzuiwa kuendelea. Wachimbaji hao wamesema walifika...
  14. J

    Natafuta kibarua au kazi Geita mimi ni wakike

    Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
  15. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Kliniki Geita

    Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani Geita. Kupitia Kliniki hiyo, wananchi wanapata fursa ya kupata elimu na ushauri kuhusu...
  16. A

    KERO Geita: Mkandarasi anayejenga kipande cha Uyovu-Bukombe anatukomesha kwa vumbi

    Mkandarasi anayejenga Barabara hapa kipande cha ‘diversion’ kinachokarabatiwa katika Kijiji cha Uyovu Wilayani Bukombe hatutendei haki kwa kutomwaga maji angalau kupunguza vumbi. Kuna vumbi la hatari, likipita gari hapo inakuwa balaa mnatafutana, imekuwa kero kubwa kwa Wananchi, pia ni hatari...
  17. Jaji Mfawidhi

    Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina. Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950. Siri...
  18. M

    Air Tanzania yaanza safari Dar - Musoma, Demand ya ndege kanda ya ziwa ni kubwa sana na zinajaa

    ✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa. Licha ya nauli kuwa juu, uhitaji wa usafiri wa ndege Kanda ya Ziwa umeendelea kuwa mkubwa sana, ukiakisi...
  19. M

    Mkuu wa mkoa Geita acha kuhadaa wanachi. Vx la mkurugenzi haliwezi kubeba wagonjwa

    Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza. Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.? Acha hadaa na siasa za kishamba. Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.
  20. C

    Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
Back
Top Bottom