geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Jifunafu

    Furusa ya uwekezaji/Uchimbaji Geita

    Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji. Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa...
  2. Zack Abdul

    Mhe Rais awafikia wakazi wa Geita, asilimia 100 zimetumika fedha za ndani

    🚧Ujenzi wa Barabara za Miji Minne ya Geita, Nyantorotoro, Nyankumbu na Katoro zinaendelea kujengwa. 🚧Ujenzi wa Bababara ya Katoro - Ushirombo (58.2km) kwa kiwango cha lami unaendelea. Miradi yote hii inatekelezwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100.
  3. W

    Aweso ataka Maji Geita kwa 100% Oktoba 2026

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini. Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake) mtaa wa Senga Geita amesema atahakikisha kazi inafanyika kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa...
  4. S

    KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
  5. A

    KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  6. Jannatul Firdaus

    MATCH DAY; Dakika 90 za Moto! Simba Yakutana na Geita Gold Katika Pambano la Pointi Tatu

    Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za kilele cha msimamo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku...
  7. uran

    FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam. Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na...
  8. A

    KERO Watumishi Wapya Halmashauri ya Wilaya ya CHATO - GEITA bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
  9. Idugunde

    Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  10. Design Your Idea

    Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  11. A

    KERO Muuguzi katika Kituo cha afya cha Nyarugusu anawalangua Wagonjwa bei ghali

    Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali. Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza...
  12. ChoiceVariable

    Kwamba Kijiji Cha Katoro Kitaipita Manispaa ya Geita na kuwa Mji Mkubwa kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga?

    Naona kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hicho Kijiji Cha manamba wa migodini ambapo wanadieiki kusema ni Mji umeipiku Hadi Geita. Hata kama mnasifia acheni mzaha na kuweni na Heshima.
  13. Waufukweni

    Watu elfu 95 wanakadiriwa kuishi na VVU Geita

    Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Geita, Lucy Beda,i akimwakilisha Mkuu wa Wilaya katika maadhimisho ya Siku ya Afya...
  14. Think2

    Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  15. funaku

    Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  16. Inside10

    Kituo cha mafuta Lake Oil chateketea kwa moto Geita

    https://www.facebook.com/share/v/19DSDGvKwW/ Chanzo cha moto👇 https://www.instagram.com/reel/DanG7CasUE4/?igsh=MWVqYWtsbDN1cnc2bw==
  17. ChoiceVariable

    Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki. Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa mwaka wa fedha 2015/26 imefanikiwa kukusanya zaidi ya Bilioni 27.Mapato haya ni zaidi ya Majiji ya...
  18. Stability

    Nasikia sasa hivi kila pisi inakimbilia Geita. Kunani!?

    mashimo yatakuwa yametema
  19. Mkalukungone Mwamba

    CCM Geita: Maandamano ya Julai 7 Yanaweza Kuhatarisha Amani ya Nchi

    Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja ======== Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kufanyika Julai 7, kikisema hatua hiyo inaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi...
  20. ngara23

    Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

    Mwanza umelala mno Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi...
Back
Top Bottom