gari

  1. Mad Max

    Msaada wa Kuelimishwa: Kwanini Namungo FC wanatumia gari la Serikali?

    Au ni team ya serikali?
  2. chakii

    Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Ifahamu Toyota Rush. Moja ya gari pendwa sana kwa baadhi ya watu ni kiwemo mimi

    Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya. Sifa kuu za Toyota Rush Injini ya petroli ya 1.5L Ina uwezo wa kubeba abiria 7 Ground clearance kubwa (huisaidia...
  4. The ghost writer

    Nilichojifunza: Horse power Haina maana ikiwa gari haina balance wala stamina

    Na hii ndio sababu inayonifanya nivutiwe na Toyota Altezza 3S dhidi ya Crown athletes JZ-GE. Horse power ni nguvu ya kulipuka tu, kama gari Haina stamina Wala balance hiyo gari inakuwa sawa na kelele na moshi tu. Ni kama mwanariadha mwenye misuli mikubwa, unaonekana mkali kwenye picha lakini...
  5. Mad Max

    Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  6. Mad Max

    Good News kwa Wapenzi wa SUV: Mitsubishi wametangaza kurudi kwa Gari yao pendwa PAJERO!

    Leo Tar 29 May, officially Mitsubishi wametangaza ujio wa SUV yao pendwa Pajero, baada ya kuisitisha mwaka 2021 ilipokua 5th generation. Kwahiyo Pajero 6th Gen inakuja mwaka huu 2026, na wamefanya teaser kidogo sana bila kusema sifa za gari. Ikumbukwe Pajero ilianza mwaka 1982 na zimeuzwa...
  7. BigTall

    DOKEZO Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja

    Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
  8. Mad Max

    Gari “Namba D” zimeenda wapi?

    Yaani Namba E kila kona, D kuonekana ni 2 kwenye gari 10. Nayo ni Kirikuu, Land Cruiser, na Corolla. Hapo Namba C ndio tusiongelee kabisa.
  9. B

    Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
  10. zee_latown

    Ifahamu CAN Bus kwenye gari

    Naona ni usiku tulivu na mujarabu kabisa kuweza kuelezea hiki kitu kidogo lakini chenye impact kubwa sana kwenye industry ya uhandisi magari. kama tulivyo sisi binadamu, tuna mfumo wa mawasiliano(coordination system) ambayo nodes kadhaa zinaunganishwa na zinakuwa zinawasiliana. Na mfumo wa...
  11. Mtu mbalimbali

    VIDEO: Allan Macha (rafiki wa David Djumbe) " David Djumbe alitekwa pamoja na gari yangu".

    Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
  12. Carlos The Jackal

    Jeshi la Polisi limlete David Jumbe akiwa HAI, Mashuhuda wanakiri Gari la Watekaji kuingia Moja ya Nyumba hapo Mbweni wakiwa Naye !!!

    Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU. Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
  13. M

    Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

    Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
  14. Royal Son

    PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧 Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯 ✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) ✅ Rahisi kutumia – Plug & Play ✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
  15. stabilityman

    Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  16. Mstahiki Mea

    Mbezi Magufuli kuna gari za kwenda Mbweni Gen Isamuhyo?

    Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
  17. Mattto

    Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

    Shikamoni wakubwa.. Vijana wenzangu mambo vipi.. Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni mwa mwaka niliamua nipambane nikafanya kazi mbalimbali kama saidia fundi na kufyeka n.k...
  18. R

    Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  19. H

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
Back
Top Bottom