Mimi Dereva mwenzenu wa bolt, natafuta gari la bolt nifanye kazi, kwa mkataba, mwenye gari au connection naomba anicheki kwa namba 0621704041, nina uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu.
Hata upewe gari bure, ni vigumu sana kulimudu kama unaingiza chini ya shilingi milioni moja. Gari lina tabia ya ajabu; ukishalizoea unapatwa na kiburi cha kuona aibu kutembea kwa miguu, kuendesha pikipiki, au kupanda usafiri wa umma. Hapo ndipo wengi huingia mtegoni na kujikuta wakilihudumia...
Details zilizopo kwenye nyaraka kama Bill of lading, invoice na inspection report hakikisha zinafanana na gari physical taarifa kama chassis no, make, mileage, model na year of manufacture vinafanana.
Hivyo vitu ndio vinaamua utalipa kodi kiasi gani TRA. kwa gari na mizigo yote ya local lazima...
Habari wakuu wa Jukwaa la Motors.
Nipo kwenye maandalizi ya kununua gari langu la kwanza na kwa sasa nimevutiwa na Toyota Corolla Fielder Hybrid, mwaka 2018.
Kilichonivutia ni uchumi wa mafuta, muonekano wake, nafasi kubwa ya mizigo na sifa ya uimara wa Toyota.
Gari nililoliona lina mileage...
Katika video hiyo, afisa wa polisi anatoa taarifa rasmi ya kukamatwa kwa gari namba T 333 ETJ ambalo ni aina ya Toyota Cruiser ya rangi nyeupe baada ya kutiliwa shaka na kukimbia kwa kasi huku ikipiga ving'ora ilipofika kwenye kizuizi cha askari tarehe saba, ambapo baada ya kukamatwa na...
Ebu fikiria tapeli anashusha milage kutoka km 160,000! Hadi km 1,1970 alafu bila kujua kuwa used car yenye milage kiasi hicho bei inakuwa sawa na mpya.
Serikali ingieni Kati kusaidia wananchi dhidi ya utapeli huu kwenye baadhi ya yard...tunajua baadhi ya wauze magari wamenyooka ila wengi wao ni...
Habari wakuu
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadha wa kadha kuhusu maisha, hasa baada ya kupitia safari ya kujitafuta , kupata kazi na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika maisha ya kila siku.
Moja ya malengo makubwa ya kufanya kazi na kutafuta kipato ni kujijenga kiuchumi...
Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara.
Msaada wenu🙏
Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
Don't panic! Kuna njia salama na yenye unafuu wa gharama kulihifadhi gari lako kupitia BONDED WAREHOUSE wakati ukijipanga kupata fedha za kulipia ushuru.
Njia hii ndio utumiwa na waagizaji na wauzaji wa magari wanachofanya ni kupeleka gari bonded warehouse na kuanza kutafuta wateja ikitokea...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Tuna Wizara 27. Tuna mikoa 31.
(1) Naibu Waziri - NW 01, NW 02 mpaka mwisho NW 27.
(Regional Commissioner) RC 01, RC 02 mpaka mwisho RC 31.
Mimi kwa Akili Zangu hizi hizi Ndogo sijaona umuhimu wa kuwa na NW OR UBB ilhali ingeweza tu kuwa NW 27 au NW 19.
NB...
Baada ya kufuatilia katika majukwaa mbalimbali na changamoto walizokutana nazo watu walionunua magari used mikononi mwa watu. Nilichoona kinajirudia sana ni suala la watu wengi kununua gari zenye gearbox mbovu.
Sasa naomba wataalamu watusaidie ni mbinu zipi tunaweza kutumia katika kukagua...
BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA
Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia!
Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka.
Pesa ni thamani na si makaratasi.
Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value.
CCM...
Wakuu, hivi mnafahamu kwamba gari lenye uzito wa tani mbili linaweza kuinuliwa kutoka ardhini kwa kutumia gesi yenye shinikizo kubwa?
Hili linaweza kuonekana kama jambo la kufikirika, lakini kanuni zinazowezesha teknolojia hiyo zimekuwa zikifundishwa katika fizikia na uhandisi kwa miaka mingi...
https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU
Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao.
Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
Hata bila kutumia akili kubwa hali ipo wazi kabisa kuwa kuna baadhi ya abiria na watumishi waandamizi wa huu mgari wamechoshwa kupanda huu mkweche usiokuwa na taa wala usukani.
Gari haliwezi kukwepa mashimo na ukijalibu kupiga kelele kuwa gari halipo sawa, linakufuata na kukukanyaga.
Ndani...
Wataalamu wa kuagiza magari used from Japani au nchi nyingine mnaangalia vigezo Gani katika kuchagua gari Bora?
1.Uchache wa kilomita
2.Bei ya gari kuwa juu?
3.Mwaka wa gari?
Wakati mwingine naona gari Lina kilomita nyingi mfano 168000 na bei yake pia Iko juu ukilinganisha na gari lenye kilomita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.