gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. ragin

    JamiiForums Tanzania Haya maandishi yalikuwa yana maana gani?

    Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Sijajua Serikali inatumia kipaumbele gani kujenga barabara za lami katika baadhi ya maeneo

    Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili. Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
  4. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi vinavyopita hewani ni nini?

    Habari ya kutwa nzima wana jamvi. Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa makini vitu vile utagundua kuwa vimeungana na kutengeneza kitu kama mnyororo unaojongea. Ili...
  7. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

    Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  10. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Nimeota nakula keki na vyakula vingine ambavyo sikumbuki, ndoto hii ina maana gani?

    Wakubwa, kwema? Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki). Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

    Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
  13. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  14. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

    Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona wengine wanakula miye mzuka nazo sina kabisaa Hebu tuambie na wewe, nini ulijaribu mara moja na ukasema...
  16. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  18. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  19. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana! Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna...
Back
Top Bottom