gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mdudu gani?

    https://www.facebook.com/reel/464181673365101
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Maadili tunayoyaamini yanatokana na kitu gani?

    Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili. Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa. Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake? Kwani Baba, mama, kaka au dada, si...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni. Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema. Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bao la usiku kwa ajili ya afya ya akili na mwili

    Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣 Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuvaa joho ni ishara gani na kurusha kofia kuna ashiria nini?

    Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Cover song ya wimbo wa ‘Ova’ by Mbosso

    Huo hapo, by Hassan Mapenzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Familia zetu za Kiafrika zina matatizo gani, kwanini zina ubinafsi sana?

    Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo...
  12. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Je kidonge kimoja cha diazepam Mg 5 kinaweza kuwa na madhara kiasi gani

    Madaktari naomba mnijuze,kidonge kimoja cha valium Mg 5 nikimeza kinaweza kuwa na madhara kiasi gani?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  17. kayanda01

    JamiiForums Tanzania OBD2 Scanner for personal use kwaajili ya Japanese cars. Brand gani ni nzuri?

    Wakuu, Title yajieleza. Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use. Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc. Iwe corded or wireless. Moderate price. Nichukue brand gani?
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Matokeo ya uchaguzi yanatoa taswira gani katika uchaguzi wa 2025?

    Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini kuna athari kubwa ya matokeo yanayotengenezwa. Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tukio gani mtoto wako aliwahi kukufanyia ukashindwa hata kumpiga?

    Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema nilibeba mimi hii hapa nikamwangalia huna jinsi unamuacha Nyingine Nikiwa mtoto kuna siku niligoma...
  20. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Usiangalie lina sound vipi je lina maana gani?

    Watu wakiambiwa kuwa majina yanaunda wanachukulia powa, tanzania ni moja kati ya nchi ambayo wazazi awazingati namna ya kuwapa majina watoto wao, wanaangalia tu namna inavyo sound mdomoni, nchi zilizoendelea bado wanazingatia sana haya mambo, nataka niwape kisa kimoja Mimi nimezaliwa naitwa...
Back
Top Bottom