gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Dhana ya jicho la rohoni; ina ukweli kiasi gani?

    Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya. Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
  2. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    Hi? DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani Lissu alipoanza kuwa liability kwenye chama cha CHADEMA?

    Kuna mijadala mingi imeshika kasi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA hususan nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti, kuna kambi kuu mbili ya mwenyekiti anayeenda kutetea uenyekiti wake mwamba Freeman Mbowe na ya makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu anayegombea uenyekiti safari hii. Kwanza nadhani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

    👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu 👉Uzi tiyari
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

    Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
  6. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mtu asiyepokea simu au kujibu ujumbe wa simu ana maana gani?

    Eti wakuu Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia? Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kweme ni matunda ya aina gani?

    Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya CHADEMA Lissu anawezana na Chama gani?

    1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza? 2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi? 3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii 4. ACT...
  10. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wapambe wake tuambieni kiasi gani mbowe alitumia kumsaidia Tundu Lissu tumlipe

    Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliiweka Chadema rehani kwa Samia. Sisi tulimuuliza kwani kuna shida gani mzee? Mbona uwezo tunao huku ukituweka rehani?

    Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani. Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya Chadema kulikuwa na vuguvugu sii la kitoto. Mnyika ni shahidi. Mwenyekiti alikuja na mapendekezo...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitapata gari gani convertible price ndogondogo

    Kwa wasiojua convertible ni gari ambayo ina paa ambayo inaweza kukunjwa chini au kuondolewa. Mad Max na @extrovent msaada tafadhali
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Taja jina moja la mbwa hapo 😂

    Taja jina ya mbwa Moja hapo 😂
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi anawapa 'mafunzo' gani Makamanda wa CHADEMA huko Nairobi?

    Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA. Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mashirika gani yanasaidia wanafunzi wanaotokea mazingira magumu , kidato cha 1 - 4

    Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema. Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu hata yake huenda ikafa. Amesoma shule ya msingi na kufanikiwa kuwa na ufaulu wa juu hatimaye...
  17. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?

    Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais...
  18. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  19. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

    Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana. Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana.. msaada wazoefu.
  20. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

    Habari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
Back
Top Bottom